Recent content by Mr Arsenal wamisako

  1. M

    Varangati: Mbunge Msigwa na DC Kasesela nusura ngumi zichapwe

    Kutoa msahada hadi Dc apigwe picha? hilo nalo ni jipu..
  2. M

    Nimemrudisha mke na mtoto ukweni baada ya kukosa kazi kwa miezi 3

    It's during darkest moments that we focus to see the light..
  3. M

    Wanaotengeneza line za simu tuongezee ukubwa wa kuhifadhi majina

    mkuu setting zake zipoje ili kuzisave kwenye G mail na ukitaka kuzipa kama simu imepote unazipata vipi?
  4. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi niliweka hela hadi leo hii siioni kwenye akaunt yangu eti wakawa wananikomalia nibet kwa njia ya sms
  5. M

    Nataka kwenda Gambosh

    Uchawi upo kila sehemu ndyo ila si kama kule jamaa usiombe kule ndo wangesema waja leo warudi leo nililala siku moja kule usiku mmoja niliuona kama mwaka
  6. M

    "Mapenzi yanasumbua wajinga"

    You life can be happy if you want it happy and not otherwise hapo umenena mkuu..
  7. M

    Mchungaji Msigwa akiwa kazini Washington Marekani

    hao ni watoto wa kimarekani ulitaka wavae kanga kama wale wa kule kwenu mchamba wima
  8. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    merdian wiki nzima hii aieleweki siyo kwako watu wengi wanalalamika
  9. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hawa mkekabet nao mizinguo mingi mi niliweka hela ikawa aionekani online mpaka leo hii sijaiona ukieapigia simu hawana msahaada wowote zaidi ya kunambia imo wakati mi nkizama online siioni..
  10. M

    Love story: I love you, goodbye

    tatizo nmesoma kayumba sijaelewa chochote
  11. M

    Kesi ya kubaka kwa watoto wadogo

    Msaada wa kisheria kuna kesi ya ubakaji kwa mtoto wa miaka 7 amebakwa na vijana wenzie wa umri sawa na wake wazazi wake wamekataa kuelewana na wazazi wa watuhumiwa wanaomba waende mahakamani je? ni adhabu gani kisheria inaweza kuchukuliwa kwa watoto hao?
Back
Top Bottom