Wanaotengeneza line za simu tuongezee ukubwa wa kuhifadhi majina

Lububi

JF-Expert Member
May 3, 2013
2,121
3,732
Line inatunza majina kama 250 na kushuka. Fanya hata 1500. Wengne hatupend kubeba sim nying.

Na kuhifadh kwenye sim yenyewe ni risk ikipotea/kuharibika. Mifumo ya kiretrieve majina haikidhi ninacholenga wakat wa matumizi.

Nafuta namba za watu kila mara kupata space.
 
Hifadhi kwenye Google au gm il
Hapo umejikita kupata namba kama umepoteza simu(retrieval). Sasa fikiria wakat wa matumizi unaongeza namba unaambiwa nafas imeisha. Fikiria ukiwa kwenye matumiz et kwanza uitafte namba toka email/google ndo uipigie! Hapo nini rahis zaid ya kupanua nafas ya line(chip)?
 
Inaonekana watu wengi hawajajua kwamba unaweza kuhifadhi namba za simu kwa idadi yoyote kwenye gmail account na hivyo kuepuka upotevu wa namba hizo simu ikiibiwa, kupotea au kuharibika.
 
Hapo umejikita kupata namba kama umepoteza simu(retrieval). Sasa fikiria wakat wa matumizi unaongeza namba unaambiwa nafas imeisha. Fikiria ukiwa kwenye matumiz et kwanza uitafte namba toka email/google ndo uipigie! Hapo nini rahis zaid ya kupanua nafas ya line(chip)?

Mkuu ulishawahi kuhifadhi namba zako kwenye gmail account na ikakuchukua muda kupata namba ili kuitumia? Mimi nina muda mrefu sijasevu namba yoyote ya zamani au mpya kwenye chip au handset zaidi ya kuzihifadhi kwenye gmail account na sipati ugumu wowote wa kutafuta namba na kuitumia. Yaani nikipata namba mpya moja kwa moja naisevu kwenye gmail account.
 
mkuu setting zake zipoje ili kuzisave kwenye G mail na ukitaka kuzipa kama simu imepote unazipata vipi?
 
Kama namba unaweza kui extract gmail ukiwa offline ningekuelewa. Na je umefikiria kama simu inatumia internet? Au niko ilipo internet? Gmail sawa ni nzuri lakin zaid kwa kufanya namba zisipotee jumla. Na sio njia rafik kwa mazingira yote wakat wa matumizi(instant use).
 
Mkuu ulishawahi kuhifadhi namba zako kwenye gmail account na ikakuchukua muda kupata namba ili kuitumia? Mimi nina muda mrefu sijasevu namba yoyote ya zamani au mpya kwenye chip au handset zaidi ya kuzihifadhi kwenye gmail account na sipati ugumu wowote wa kutafuta namba na kuitumia. Yaani nikipata namba mpya moja kwa moja naisevu kwenye gmail account.

Jamani nina gmail account, nifanyeje ili ni save contacts wangu huko?
 
Wakati ukisave namba!

Kuñà option huwa zinakuja ambazo ni
1. Save to phone
2. Save to SIM 1
3. Save to SIM 2
4. Save to gmail account( hapa itaandika gmail account yako )

Hivyo utachagua save to gmail account...

Ni kitu simple sana...
 
Kama namba unaweza kui extract gmail ukiwa offline ningekuelewa. Na je umefikiria kama simu inatumia internet? Au niko ilipo internet? Gmail sawa ni nzuri lakin zaid kwa kufanya namba zisipotee jumla. Na sio njia rafik kwa mazingira yote wakat wa matumizi(instant use).

Mkuu uta access namba zako instantly tena ukiwa offline kama ambavyo una access namba zako ulizosevu kwenye chip au handset. Haina tofauti kabisa. Jinsi ya kusevu namba mpya ni kama mdau Transcend alivyoelezea hapo juu. Ila cha kuongezea ni kwamba unapokuwa umeongezea namba mpya kadhaa inabidi upate angalau dakika kama moja hivi uwe online ili uweze ku update akaunti yako ya gmail kwa vile updating ya gmail account inahitaji uwe online. Pia unaweza kuhamisha namba zako zote ulizosevu kwenye chip au handset kwa mpigo kwenda kwenye gmail account yako (wanaita ku export) ndani ya dakika tu kutegemea na wingi wa namba ulizonazo. Wazoefu na wazuri wa kuelezea watanisaidia kuonyesha namna ya ku export au ku import namba kwa faida ya wanaopitia uzi huu. Ila ni process nyepesi tu.
 
Mkuu ulishawahi kuhifadhi namba zako kwenye gmail account na ikakuchukua muda kupata namba ili kuitumia? Mimi nina muda mrefu sijasevu namba yoyote ya zamani au mpya kwenye chip au handset zaidi ya kuzihifadhi kwenye gmail account na sipati ugumu wowote wa kutafuta namba na kuitumia. Yaani nikipata namba mpya moja kwa moja naisevu kwenye gmail account.
Mkuu je sisi wenye cha Nokia ya toch
 
Back
Top Bottom