Nataka kwenda Gambosh

Nataka kwenda Gambosh

Una kifua cha kukabili mambo? Nitumie namba yako nimpe bibi afanye yake! Ila wakikung'ang'ania huko tusijuane!
Mimi nataka kurudi huku duniani sitaki kubaki huko..Mwambie bibi atulie kwanza..
 
Nilishawahi kufika, mbona ni pa kawaida tu,
Kuna watu wanaendesha maisha fresh, swala la dunian kwan wao wanaishi mbinguni?

Sema tulipewa moja hiyo ya kuondokea, sitaisahau loooh!
Ila Gamboshi ni kijiji km vilivyo vingine, mambo ya uchawi hata hapo ulipo yapo, ila hapako kama watu wanavyodai palivyo.
Usiniambie umeenda Gamboshi wilaya ya Bariadi Mkoani Shinyanga sio huko..Ni huko kwenya ulimwengu usioonekana..
 
Nilijua tu sitakosa kuitwa huku ila mimi sio mchawi
Mkuu wewe sio mchawi bali unayajua haya mambo au na wewe umeyasikia..mimi nilitaka kujua jinsi ya kufika huko kwenye ulimwengu usioonekana..Sio Gamboshi Wilaya ya Bariadi
 
Wakuu Habari Zenu
Nimesikia eti huko Gambosh kuna kila kitu kama hapa duniani.Mimi nataka kwenda mara moja tu kwenda kujionea kwa macho yangu na kurudi hapa duniani.

Kuna njia yoyote ya kwenda huko au ni mambo ya kukata tiketi kama za ndege.
"..Mkuu wengi wakienda huko kurudi ni msala kidogo kozi utamwaga ishu zao.. labda ule kwanza kiapo cha uchawi lkn hv hv inaweza ndo ikawa mara ya mwisho kuona jua.. poa utawasalimia kuzimu"
 
"..Mkuu wengi wakienda huko kurudi ni msala kidogo kozi utamwaga ishu zao.. labda ule kwanza kiapo cha uchawi lkn hv hv inaweza ndo ikawa mara ya mwisho kuona jua.. poa utawasalimia kuzimu"
Hamna shida kama ni mambo ya kuchanjana mwili mzima poa na hata viapo..Lakini mimi nataka kurudi Duniani
 
Mkuu wewe sio mchawi bali unayajua haya mambo au na wewe umeyasikia..mimi nilitaka kujua jinsi ya kufika huko kwenye ulimwengu usioonekana..Sio Gamboshi Wilaya ya Bariadi
Huko huhitaji kusafiria bus kuna namna yake ya kufika wasiliana na MziziMkavu ana jinsi
 
Wakuu Habari Zenu
Nimesikia eti huko Gambosh kuna kila kitu kama hapa duniani.Mimi nataka kwenda mara moja tu kwenda kujionea kwa macho yangu na kurudi hapa duniani.

Kuna njia yoyote ya kwenda huko au ni mambo ya kukata tiketi kama za ndege.

Ngoja Nikuitie Marubani MAARUFU Wa Air Gambosh Boeing 737 Ambao Ni Captain mshana Jr Na Co Pilot Wake MziziMkavu Watakupa UFAFANUZI Murua Na ULIOTUKUKA Wa Huko Mkuu. Safari Njema!
 
Gamboshi ni kijiji tu kama vilivyo vijiji vingine sema imani za kishirikina zimejaa huko ila mchana ni pa kawaida sana kama viji vingine.....ukifika bariadi panda gari za mwanza zinazopitia kasori shuka kijiji kinaitwa ngulyati then kuna pikipiki au baiskeli zitakupeleka hadi gamboshi mkuu
 
Nilishawahi kufika, mbona ni pa kawaida tu,
Kuna watu wanaendesha maisha fresh, swala la dunian kwan wao wanaishi mbinguni?

Sema tulipewa moja hiyo ya kuondokea, sitaisahau loooh!
Ila Gamboshi ni kijiji km vilivyo vingine, mambo ya uchawi hata hapo ulipo yapo, ila hapako kama watu wanavyodai palivyo.
Uchawi upo kila sehemu ndyo ila si kama kule jamaa usiombe kule ndo wangesema waja leo warudi leo nililala siku moja kule usiku mmoja niliuona kama mwaka
 
Ndio kwao nini?..
niliwahi kupita maeneo hayo nikitokea lamadi kuelekea bariadi miaka ya 98. nililala bariadi. ucku wa manane utasikia sautiza magari na watu. kiukweli ni mwangi wa sauti zaziwani victoria nasio mji ulijificha. nenda ulale bariadi ucku wa manane utaweza ku sikia hali hiyo. sio uchawii
 
Uchawi upo kila sehemu ndyo ila si kama kule jamaa usiombe kule ndo wangesema waja leo warudi leo nililala siku moja kule usiku mmoja niliuona kama mwaka

Hahahaha napajua kule,
Ndio mana nilisema tulipewa moja hiyo sitasahau,

Ila watu wanasema tu khs Gamboshi,
Hawajaenda sehemu moja yaitwa Tongwe (watu wa Kigoma wanapajua) huko nako ni sheeedah.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom