Recent content by Mpwa Upwani

  1. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Comoro unaingia kwa visa na ni Euro 30,mind you!
  2. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania Balozi Kagasheki amtaka Kigwangalla athibitishe taarifa za yeye kupokea rushwa akiwa Waziri, Kigwangalla akana kumtaja

    Anaonyesha hana mawaaaa,nakumbuka aliachia ngazi instantly bungeni hakutaka mambo mengi!
  3. Mpwa Upwani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wote, ni sehemu gani unaipenda kwenye mwili wa mwanamke?

    Sasa kucha safi wewe zinakusaidia kitu gani?
  4. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania Picha: Yericko Nyerere na muonekano wa kutinga na pensi katika kipindi cha Star Tv

    Daaa ndugu zangu mmenichekesha sana eti kavaa "PURU" ccm bwana, usijudge alichovaa pima madini anayotoa
  5. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania Riba kwenye Mabenki ni Jipu kubwa sana

    Kwa Bank kama ACCESS BANK ni shida na jipu kubwa Africa Mashariki na duniani kwa ujumla, wana riba kubwa isiyoelezeka na wanakupa mkopo kiukaini sana lakini watu wana filisiwa mali zao haraka pasipo hata kufuata sheria, unajikuta unalipa mpaka mtaji wako wa biashara jwa jinsi riba ya mkopo...
  6. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania Hivi kiongozi gani ana Uhuru wa kuingia na kutoka Ikulu muda wowote?

    Mwacheni yericco wetu bana
  7. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania UKAWA wawaita wabunge wao Dodoma kumkabili Makinda

    Sawa sawa
  8. Mpwa Upwani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania na Sports betting

    nyie mnatumia nn kufikiri?this is free trade serikali inahusikaje?kama unapeleka hela zako mwenyewe na watu wanalipa kodi unataka serikali ifanye nini hapo?serikali can't think on behalf you have to think properly wewe na uchumi wako!
  9. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania Harambee ya kuanzisha redio ya kiislam yapata million 2 tu kati ya million 320 walizopanga kukusanya

    Sasa kuna wakristo kwenye kile kikundi cha uamsho kule zanzibar??
  10. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania Harambee ya kuanzisha redio ya kiislam yapata million 2 tu kati ya million 320 walizopanga kukusanya

    Wngine wana pesa za kununulia tindikali kuwadhuru watumushi na viongozi wa dini lakini sio kutoa sadaka,shame on you!
  11. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania Bendera ya China kupelekwa mlima Kilimanjaro

    Nchi ya kitu kidogo
  12. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Maige: Kamati teule ilikuwa na kinyongo na Mimi

    Hana lolote jipya anajisafisha tuu
  13. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania 22 U.S. Embassies across the World Closed Due to Terrorism Threats

    Nasema wampige.....pigeni tu!
  14. Mpwa Upwani

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa picha,watanzania wenzetu wavamiwa na kupigwa huko ugiriki

    Kweli kaka na mm nimekaa greece mji unaitwa PIREUS na wabongo wengi kazi zao ni melini sasa boya anaongea bila kujua mpotezee mwana,sehem meli zinapotengenezwa panaitwa PERAMA daaa umeniremind mbali sana!
Back
Top Bottom