Wanaume wote, ni sehemu gani unaipenda kwenye mwili wa mwanamke?

Hizo unaweza kupata hata kwa dada zetu wa pale Corner bar mkuu.

Kuhusu akili corner bar wapo wa degree kibao, fikra wanazo pia wako ambao wanakwambia bila condom no game, uelewa wanao sana wanajua wanajua kwasasa vyuma vimekaza wafanye kazi kwa bidiii na wajitume wawapo kazini na pia wapanye negosiesheni na wateja kuhusu malipo.
 
Utajuaje ndo kwanza wamuona?

Ni kweli mkuu huwezi jua makuzi ya mtu kama una haraka haraka....

Weka mkakati wa kuanzia walau miaka 4 ndo uweze kumujua mtu tabia zake na vituko vyake, lakini kama umepa demu leo,kesho unaenda kwao kutoa mahali,ndani ya miezi sita ndoa, walahi utakuja lia machozi ya blue, na hii ni kwa pande zote sio kwa wanaume tu,wanawake pia.....
 
"Hata ujilembe vp si tunatazama wo wo wo

Sura hata mbuzi anayo si tunatazama wo wo wo

Zawadi ya kubarikiwa Ni kupewa wo wo wo"

wimbo mpya Wa bongo fleva msanii toka tamaduni music
 
Back
Top Bottom