Bendera ya China kupelekwa mlima Kilimanjaro

Bendera ya China kupelekwa mlima Kilimanjaro

sasa kwani what a big deal?- It is just a gesture ya urafiki baina ya Tanzania na china, na wala haimaanishi mlima unahamishwa kwenda china. ni sawa na mahoteli makubwa unakuta bendera za nchi mbalimbali.

Mathalani zikiwekwa bendera za nchi mbalimbali ni motisha kwa wapandaji kutoka nchi hizo kupanda mpaka kileleni na kuzifikia bendera zao, it is just a psychological incentive!. let us think big guys!
Mkuu, ndio maana wawekezaji wanachukua waajiriwa toka nje ya nchi, hii human resources ya Tanzania kweli majanga. Hawafikiri nje ya box hata kidogo. Tena hawa wanaotokwa na mishipa na kutojua mambo madogo km haya wengine ni gradustes hadi wa masters wamo. Si balaa hili. Halafu hata wakielimishwa kuwa hili jambo si unique bali ni tourist strategic,wao aah! Wanaendelea kuonyesha jinsi vichwa vyao vilivyo empty. Kujua hawajui lkn wabishi sjui tuwasaidieje!
 
Ni ishara kuwa wameshachukua nchi
 
tatizo tunaishia kuongea tumepata viongozi wa kutusemea leo mnawaita magaidi,waroho wa madaraka na majina meeeeengi mabaya,hakika katika hukumu simiyu na ritz mtatoa hesabu.Tz imekua pango la kichina juzi nilisikia tz inakua jimbo la china, whats the hell?
 
Wana JF naamini hamjambo!

Kwasababu JF ni kisima cha maarifa, na ni jukwaa la great thinkers naomba mnisaidie jambo moja.

leo katika matangazo radio clouds wamesema kesho bendera ya China inapandishwa mlima Kilimanjaro? Jambo hili limenistua nikawa na maswali mengi baadhi ni Kama yafuatayo:-

- Je inapandishwa huko kufanya nini? For every reaction there is equal and opposite reaction. Sasa malengo hasa ni nini?
- Baba wa Taifa kupitia baba yetu Marehemu Nyirenda alipandisha bendera ya TZ kwa ajili ya UMOJA, AMANI, UTULIVU nk
- Kwenye ulimwengu wa Roho hili jambo lina maana yake. Basi mpango wowote muovu Mungu aubatilishe, TZ ni ya watanzania.
- Na Kama mpango ni mzuri na utakuwa na faida kwa watanzania basi na usimame.
- Kama kuna viashiria vyovyote vya ushirikina basi basi Mungu avibatilishe. miungu ya kigeni hatuitaki TZ.

Kama nimekosea basi nisamehe na panapohitaji marekebisho au mchango basi UZALENDO wako utumike.

Queen Esther
Sio kwamba tumeshindwa kuendesha shughuli za utalii kupitia mlima huo! so kwa nia njema Mkuu wa kaya kaamua kuwapa wachina (wawekezaji)
 
Mkuu maana yake ni kwamba "tumeshaliwa" na kuuzwa kama nyanya.
 
Kama ni kweli inabidi wizara ya utalii itoe taarifa. Ya kueleweka kwa wananchi.
Lazima sababu iwe ya kueleweka na kukubalika na kitendo hicho kitasaidia vipi kuinua uchumi wa nchi yetu.
Kwangu nimi sio tatizo kwa. Mtu yeyote Kupeperusha bendela ya nchi yeyote au. Kikundi chao fulani ili mradi. Wafuate sheeia na taratibu. Na kwa namna yeyote ile iwe kwa nia ya kudumisha uhuru, amani, umoja na mshikamano wetu kama taifa.
Wageni wote waruhusiwe kupeperusha bendera zao kwa mujibu wa sheria za kidiplomasia au sababu za kibiashara ambazoitabidi walipie
 
Wana JF naamini hamjambo!

Kwasababu JF ni kisima cha maarifa, na ni jukwaa la great thinkers naomba mnisaidie jambo moja.

leo katika matangazo radio clouds wamesema kesho bendera ya China inapandishwa mlima Kilimanjaro? Jambo hili limenistua nikawa na maswali mengi baadhi ni Kama yafuatayo:-

- Je inapandishwa huko kufanya nini? For every reaction there is equal and opposite reaction. Sasa malengo hasa ni nini?
- Baba wa Taifa kupitia baba yetu Marehemu Nyirenda alipandisha bendera ya TZ kwa ajili ya UMOJA, AMANI, UTULIVU nk
- Kwenye ulimwengu wa Roho hili jambo lina maana yake. Basi mpango wowote muovu Mungu aubatilishe, TZ ni ya watanzania.
- Na Kama mpango ni mzuri na utakuwa na faida kwa watanzania basi na usimame.
- Kama kuna viashiria vyovyote vya ushirikina basi basi Mungu avibatilishe. miungu ya kigeni hatuitaki TZ.

Kama nimekosea basi nisamehe na panapohitaji marekebisho au mchango basi UZALENDO wako utumike.

Queen Esther

Bendera ya nchi nyingine hupepea kwenye ofisi ya Ubalozi tu na si vinginevo!
Kwa maana hiyo Bendera ya Tanzania huko China inatakiwa kupepea kwenye ofisi ya Ubalozi wa Tanzania na siyo kwenye Mlima Everest(The highest mountain in the World).

Likewise Bendera ya China hapa Tanzania inatakiwa ionekane ikipepea kwenye Ofisi za Balozi wa China nchini Tanzania tu! Kinyume cha utaratibu huu wa Kibalozi ni sawa na kutangaza KOLONI la nchi yenye bendera kama haiko kwenye ofisi za Ubalozi!!

Kwa kitendo cha China kupeleka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro ni sawa na China kutangaza kuwa Tanzania ni Koloni la Wachina. Huo ni ukweli na ndiyo maana yake. Ndugu Watanzania tumesikia mengi sana kuhusu Wachina ndani ya Tanzania kuanzia bidhaa feki, biashara za Madawa ya Kulevya,Biashara ya Pembe za Ndovu na Faru na zote zikiwahusisha Wachina!!!!!

Kama Watanzania tuna akili timamu basi kwa umoja wetu na mshikamano wetu lazima tupinge kitendo hiki kwa nguvu zetu zote. Naomba Viongozi wa Upinzani hasa CHADEMA kuandaa maandamano ya nchi nzima kukataa hii aina ya Ukoloni mpya wa Kichina!

Tumechoka.................!!!!
 
tatizo tunaishia kuongea tumepata viongozi wa kutusemea leo mnawaita magaidi,waroho wa madaraka na majina meeeeengi mabaya,hakika katika hukumu simiyu na ritz mtatoa hesabu.Tz imekua pango la kichina juzi nilisikia tz inakua jimbo la china, whats the hell?

wacha wee ! TZ kuwa jimbo la CHINA ? mama yangu weee !
 
.......katika vita, ina maana gani kupeperusha bendera kwa adui yako?
 
Watanzania ni wakarimu sana kwa wageni wetu,,,
natamani 2015 ifike haraka
 
Sehemu kama hii ambapo unaona kabisa maslahi ya taifa yamepotea ni vigumu kuona post ya lizaboni, hammy d,na wengineo ambao wao cha muhimu ni buku 7 tu na posho zingine
 
Watu wa Mungu wapi,hawa hawa akina Lusekelo,Kakobe,Rwakatare,Mwingira nk.Hamna lolote,upuuzi mtupu.Mafisadi wa imani tu wote.
msiogope,watanzania
wote, hakuna chochote kitakachofanikiwa,pale mlimani wachina na mapepo
yao watakiona cha mtemakuni mlima wote watu wa mungu walisha mkabizi
[mungu wa mbingu na nchi] msiogope hakuna mungu mgeni atakaye simama
mbele ya [mungu wa mbingu na nchi]
 
mkwele anafanya yake sasa, yule mzee mwenye dip ya ualim alipouza mikumi na kusema kila kitu luksaaaaa tulisema elimu ndogo na huyu jeeeee mwenye madigiriiiiiiiii?...imekula kwetu na kwa haya mazungumzo ya umu ndani bila action yoyote mwishowe atakuja nyumba adi nyumba kugawa endapo maliasiri zakuwapa wachina zikiisha
 
Mimi siamini kama hii ni kweli maana tutakuwa wajinga wa kutosha kabisaaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom