Recent content by Mposonge

  1. Mposonge

    Uzee mwisho ferry, BOT wote mababy

    Mariooo mawindoni
  2. Mposonge

    Issa

    Naona umeshakula vitu vyako hapo hauna habari.Wasalimie sana kiwalani.
  3. Mposonge

    Pikipiki ipi nzuri kati ya boxer 150 na yamaha

    Jamaa wa Boxer haoo.Ngoja nikimbilie benki nikatoe kisalio changu cha 139,999/= wasije wakapita nacho
  4. Mposonge

    Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Na wewe kwanini usiende jukwaa la matangazo,upeleke hiyo biashara yako ya vitenge,mitandio na mabaibui toka arabuni.
  5. Mposonge

    Natafuta mke anayependelea dona na vyakula asili

    Huyu mgonjwa wa kisukari asije akafia kifuani kwa mtu.
  6. Mposonge

    Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    China umekwenda lini wewe,kutwa kucheza bao tu.
  7. Mposonge

    Golgota(Fuvu la kichwa)

    Baba ikiwezekana niondolee kikombe hiki.
  8. Mposonge

    Taarabu zinachochaea ushoga, Viongozi kaaeni mbali

    Huyu ndiye Bilali Mashauzi,shoga mwandamizi jijini Darisalama.ukipenda muite injini ya vokswagen.
  9. Mposonge

    Nimeacha maisha ya kijijini yaendelee nimekuja mjini

    Njoo tu kijana nitakupokea,utalala,utakula kwa gharama zangu.Sina madhara makubwa sana kwa vijana watafutaji Kama wewe.
  10. Mposonge

    Kwanini niko hivi jamani?

    Acha kucheza Sana Puli tebo.
  11. Mposonge

    Picha namna K-Lyn alivyosherekea birthday party yake chini ya Mengi na Diamond Platnum

    Pesa kweli balaa,huyu Jacquiline Ntuyabaliwe na uzuri wake wote ana share shuka na mwanaume sawa na kaka wa baba yake.
Back
Top Bottom