UKIFUATILIA HUU UZI UTAGUNDUA WALIOFUATA VYETI CHUONI ILI WAPATE AJIRA NI WABISHI TU. SIKUSUDII KUMPINGA YEYOTE BALI NAKUSUDIA KUWAKUMBUSHA WALE WANAOKASHIFU BILA KUTAFUTA MANTIKI HIYO SIO ELIMU. ELIMU NI KUKITIA CHANGAMOTO KILE ULICHOAMINI UNAKIJUA. NJE YA MFUMO WA ELIMU KUNA CONCIPIRACY...
KUNA VITOTO VIJINGA SANA HUMU. SASA ALIYEKUWA VITANI ANAELEZA HALAFU KITOTO KILICHOVAA PAMPASI KINAJIFANYA KIJUAJI. HALAFU VITOTO VYA KIUME VISHOGA NDIO VINADAI VITA HAIKUWA NA UMUHIMU. UNAJUA HAVIJAWAHI KUCHUKULIWA DEMU. MWANAUME ALIYEPORWA DEMU WAKE NDIYE ANAJUA UMUHIMU WA KUMPAMBANIA. SASA...
Kaka achana na huyu bwege. Huyu ndio vile vi-Tiss huwa vinajitangaza mitaani kumbe Ni vitaahira tu. Kimsingi hajui anachokupinga ila anatafuta Kiki lakini kumbe Ana ji-expose alivyo mweupe kichwani. Bro I know it takes a hell of brain and resources kutuandalia hizi Makala Tena for free. Just...
Nadhani Kuna mijadala tusiukwepe Kama great thinkers.
1. Muandishi amekosea kusema tungekuwa wiped kabisa. Kuua race fulani sio rahisi.
2. Kukua kwa Nguvu (empire) Ni utashi ambao unasukumwa na hamu ya maendeleo ambayo sisi weusi hatuna
3. Historia ya ZAMANI ya Africa inabeba sehemu ndogo ya...
Kuna mambo mengi hatuyajui. Hata ukifuatilia science imejaa codes kibao. Life is about codes. Njia pekee isiyo na codes ni kuacha dhambi. Kuishi kwa upendo na Amani.
Muandishi ukisema dhambi ni Nyoka kumuwema amber rutty Eva utakosea sana.
1. Mungu hakuzuia Adamu asigonge utamu. Sasa kama Bible...
Nilifika Bukoba nikaambiwasukari yote ya huko anaimiliki yeye. Kifupi anaweza kununua sukari yote kabla haijazalishwa. Anauwezo wa kuihold kiwandani na akatumia advantage ya scarce kuimport kwa kuwa tena yeye ndiye importer MKUBWA zaidi. Take it positively nawewe utafanikiwa.
Wakuu Habari.
Najua huku kuna ma-expert wengi. Nataka kufungua TV station.
1. Nahitaji vifaa gani?
2. Gharama yake ikoje?
3. Kujiunga kwenye makampuni e.g Star times gharama zikoje?
4. Je? Nikitaka Mimi niwe free yaani hata kama mteja hajalipa nionekane utaratibu ukoje?
5. Kurusha kwenye...
Nenda "thepiratebay.org ndiko chimbo kuu. Huko utapata na zaidi. Ni vema machine yako iwe na utorrent nenda Google no free. Torrent sites ndiko utapata kwingine ni matangazo tu. Torrent site ingine kuu ni "kikass"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.