Tulia nae ufaidi na wewe mpe script za mazungumzo yake ya siku nzima shida iko wapi na hiyo privacy unayoitaka ili ufanye nini wewe hukujua ukiolewa unakuwa chini ya milki ya mwanaume?
Sasa yeye kujua script yako huoni kama mmeo anaweza vutia watalii kifupi umelalia mgodi au siyo nduguzangu?
Hawa wameonesha uchafu wao hadharani na tumewajua ni wafuasi wa shetani ila sio wote maana hata hapa kwetu uovu ni mwingi sana sema haujawekwa hadharani ndio tofauti kati yao na sisi , anayedhulumu haki ya mtu hana tofauti na hao mashabiki wa ibilisi tusijione watakatifu sana wanaomtumikia...
Kheri anayekula ktmt hadharani kuliko wanaojisifia kufanya ufuska hadharani kimasihara tena kheri huyo hana madhara kuliko kuwa na marafiki wanafiki ambao ukiondoka machoni pao sio lolote , nduguyo angekataa kula kuku sidhani kama ungekuja hapa nakushauri mind your business kile ukionacho bora...
Upo sahihi neno asante lilitosha sana ukiona haujawa recognized ujue zamu yako bado hao wahudumu sio muda wa kuleta hyo maelezo ilhali marubani wao wameangamia watulie wamshukuru Mungu yatosha kijana majaliwa ndiye shujaa kwa sasa .
Hiyo mvurugiko ulitusumbua sana na ni baada ya kutumia vijiti vya uzazi wa mpango ndipo mauzauza yote hayo yakatupata ukiniuliza dawa kwakweli wife alimeza hadi tukachoka na miscarriage kama mbili hivi bado tukaambiwa shida ni hyo . In short prayer did the magic kama huamini ni wewe lakini...
Mkuu Mshana tujifunze kama jamii kuwasaidia wahitaji bila kutarajia chochote kama shukrani kutoka kwao , hata kama watakuja fanikiwa sana kimaisha alama ulioweka kwao kamwe haitafutika ,neno ASANTE linatosha sana hata asiposema tulia mshukuru Mungu umefanyika daraja kwa wengine inatosha sana.
Unataka kucheka lakini unajizuia moja ya sababu yaweza kuwa alicheza nje ya ulingo na amegundua mchepuko ana umeme sasa kapima maramoja anasubiri miezi 3 ipite ajiridhishe , usitumie force huo sio ugali kuwa asipokula atakufa no way.... jaribu tafuta physiologist aweza kuwa chini ya msongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.