miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
- Thread starter
- #21
Na Mimi pia nawaza hivyo pia na mpango siku ikitokea akianza kutaka na Mimi nimnyime nimwambie nipo kwenye dozi ili na yeye ajionee ni jinsi gani inaumizaDuuh achana naye tafuta kidumu cha pembeni utakuja kunishukuru.
