Mpinduameza
Member
- Aug 6, 2022
- 50
- 99
Kg 4000Hivi watanzania wengi siku hizi wanakula na kushiba kweli?? Maana maharage tu kilo 3,800. Aya anunue mchele .mchele wa ovyo kabisa kg 1 2,500.bado mafuta ya kupikia bado gesi .hapo familia ni kubwa kilo moja haitoshi.na vipato ndo hivi.