Recent content by MpiganajiNambaMoja

  1. M

    Operation Sangara: Chadema yajipanga Upya

    Mimi naona mkuu wa huyu wa polisi alikuwa sahihi kabisa kuzuia operation Sangara, kama barua aliyokuwa amepelekewa haikutoa ufafanuzi wa nini Operation Sangara. Hivyo sababu zilizotolewa na Mkuu huyu ni za msingi kabisa, kwani ni lazima apange ulinzi kulingana na aina ya operation. Nafikiri huyu...
  2. M

    Kampuni za Simu na Siri zetu

    Wakati mwingine kama haujui jinsi technolojia zinavyofanya kazi bora uache tu kuandika, kuliko kuandika utalaam wa vijiweni.
  3. M

    Spika Sitta na Usiri wa Mikataba na majibu ya serikali

    Kama ni swala la ushindani, hata sisi tunatakiwa kuwashindanisha wawekezaji, ili kupata mwekezaji ambao anamaufaa zaidi. Kuweka mikataba wazi baada ya kusainiwa haina manufaa sana. Bali serikali inatakiwa itoe taarifa kwa umma "Public notice" ya kusudio la kuingi mkataba na mwekezaji fulani na...
  4. M

    Websites in Tanzania, watu wa ICT mko wapi?

    Mara nyingi tunafanya makosa ya kiufundi tunapo husisha matatizo ya content za websites na wataalamu wa IT. Ni makosa kama haya ndo husababisha katika Taasisi nyingi website kuwekwa chini ya vitengo vya IT. Website ina sehemu kuu mbili Content na Technology. Wataalam wa IT hawajasoma...
  5. M

    Bongo kunakera!

    Wabongo ndivyo walivyo jamani, kuonyeshana ufahari na kujitanua ili waonekane bora zaidi ndo zao. Mbona hata nyie mlioko nje ya nchi mnafanya mambo ya ajabu kwa kutukanana kwenye mitandao kama zeutamu? Hasa wa kina dada mnapenda sana mashindano, badala ya kumind business zenu. Inawezekana huyu...
  6. M

    Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    nasikia wameachiwa kwa dhamana
  7. M

    Serikali inapokosoa serikali, wananchi waende wapi.

    Nimesoma habari leo kwenye gazeti la majira, Mkullo anadai eti mabalozi waliwadanganya Mawaziri wao kuwa JK alipanga kuwa samehe Mafisadi wa EPA ambao wangerudisha pesa. Kwa Mujibu wa Mkullo eti JK alisema warudishe pesa kwanza halafu ndo hatua za kisheria zifuatwe. Hivi katika hotuba yake ya...
  8. M

    Mungai aja juu

    Mungai anadai aliongoza wizara ya Elimu kwa unyenyekevu na kwa kuzingatia maslahi ya Taifa. Je kuvuruga mitaala ya Elimu, kwa mfano kuunganisha Fizikia na Chemia ilikuwa kwa maslahi ya Taifa. Kwa nini mwandishi wa hiyo habari asinge mtupi hilo swali pia?
  9. M

    Namna Bora ya Usawa wa Kijinsia ni ipi?

    Mimi ni myu ambaye napenda kuona usawa wa kijinsia unakuwepo nchini kwetu. Huwa napata shida kidogo swala la usawa wa kijinsia linavyotekelezwa na sera mbalimbali hapa nchini. Najuavyo mimi nchi inaku wa na usawa wa kijinsia pale ambapo mtu yeyote bila kujali jinsia yake anaweza kupata nafasi au...
  10. M

    Mwisho wa "Per Diem"? - Pinda aungwe mkono

    Liz Senior Nakubalianai na wewe. Ila mimi ninachotaka kuona ni hili lakupunguza matumizi yasiyo ya lazima linafanywa kisayansi na siyo kisiasa. Yaani waje na takwimu na uchambuzi. Naamini kabisa semina nyingi hazina Tija na zinaweza kabisa kuondolewa, halikadhalika Safari za nje na training...
  11. M

    Mwisho wa "Per Diem"? - Pinda aungwe mkono

    Ni vyema tukajikumbusha historia ya haya mambo ya bahasha za kaki kwenye mikutano na semina. Wakati wa serekali ya awamu ya pili, nchi ilikuwa kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi kiasi kwamba serikali ilikuwa ikishindwa kulipa hata mishahara ya watumishi wake. Wafadhili walikuwa tayari...
  12. M

    Ni nini kiashirio kwamba kabila fulani ni wakabila?

    Ukabila ni pale ambapo mtu anakosa kupewa kitu fulani kwa sababu si kabila fulani. Kwa mfano unaomba kazi unaambiwa kuwa vigezo vya elimu na ujuzi unavyo lakini kwa sababu si kabila fulani huwezi kupata kazi. Nijuavyo mimi Tanzania hakuna ukabila kabisa kabisa. Ila hili swala la ukabila...
  13. M

    Mafisadi wasema JK utupe nafasi ama la...

    Lakini si unakumbuka yaliyomkuta doe? kwa hiyo unataka JK afanyiziwe kama doe?
  14. M

    Jinsi wageni watakavyo leta vita Tanzania!

    Hivi hawa wabunge mimi nawashangaa, huwa wanachambua na kufuatilia majibu ya mawaziri kweli? Maana kama hao wataalamu anaodai wanakimbilia nje, kwanza ni kwa nini wanakimbia nje? na je wakirudi watakuwa na tofauti gani na wataalamu ambao hawajakimbia nje? Mimi ninachojua ni kwamba siyo kweli...
  15. M

    Public reacts to Dar road privatisation plans

    Sasa tumefika mbali. Bora tuuze nchi yote tu, tujua moja kwamba hatuna nchi bali ni wapangaji. Ninavyojua mimi hata sasa tunalipia barabara. Katika kila lita ya petrol au ya dizel tunayonunua kuna kiasi flani kwa ajiri ya ujenzi na ukarabati wa barabara. Tatizo ni ukosefu wa mipango bora, na...
Back
Top Bottom