Mafisadi wasema JK utupe nafasi ama la... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafisadi wasema JK utupe nafasi ama la...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Nov 5, 2008.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mafisadi wazidi kumtishia JK baada ya kuonekana anataka kuwamaliza kwa kusimamia kufutwa kwa wagombea wa Vijana wa Bara na kuwapa wa Zenji nafasi .Kufuatia ujumbe uliotumwa kwa JK baada ya Kikao cha NEC wamesema kwamba wakao tayari kuja na Chama mbadala na kuachana na CCM kama JK atazidi kuwabana na hata kushindwa kumpata Katibu Mkuu wa Vijana .JK akiwa wazi kwamba anamtaka Kawawa achukue uongozi basi Mafisadi wamesema lazima kieleweke .

  Wameamua sasa kumvaa possible mwenyekiti kati ya wale vijana 3 wa Zanzibar na jina tutaliweka hapa kwa uwazi muda si mrefu .Mafisadi wanasema watakula naye na lazima aelewe kwamba wao wako na wanataka kumtumia effectively akisha ukwaa ukubwa .Ngoma ni nzito na CCM si shwari .

  Yangu macho sasa naangalia mwenendo mzima na saga hili huku kukiwa kumeitishwa kikao cha ghafla na tunatafuta yaliyomo .

  More to come and stay tuned maana ufisadi sasa unaenda ikumba Zanzibar
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  this news is as old as....

  [​IMG]

  Once again hii ini another innuendo

  majina unayoyaficha au jina unalo lificha lilishawekwa humu na ES


  lete mpya
   
 3. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Mkuu Lunyungu,

  1. Tupo ukurasa mmoja, hapo wameamua ku-invest kwa kijana nayeitwa Masauni.

  2. Wamemtaka awaachie nafasi ya katibu mkuu, ama sivyo watajitoa chama, na kwamba asithubutu kabisa kumuweka Nape kwenye hiyo nafasi, kama anafikiria hivyo.

  3. Kikao cah wabunge wa CCM na chini ya Pinda na Sitta, kilikuwa leo mchana saa saba, Makamba apigishwa mchaka mchaka na wabuneg ambao wamedai hawawezi kwenda naye kwenye uchaguzi ujao 2010, ya Tarime yametosha.

  Mkuu Lunyungu, huenda tunapata habari mahali pamoja, maana sio siri umenishitua bros, labda tu-linganishe notes cheki PM.

  Dataz zingine za kikao, later zikipatikana!
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Nov 5, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,566
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Kikwete kama katuni fulani hivi...., fanya hivi, fanya hivi.... haya mambo ya fadhila haya
   
 5. L

  Lorah JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2008
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndo ajue fisadi si rafiki ukiweza mmaliza mmalize usisubiri saana mwishowe atakumaliza wewe kikwe hapo kwako
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Shukrani mkuu FMES kwa jambo hii .Mambo si shwari CCM na bado wanatafunwa na issue ya OIC na Mahakama ya Kadhi .Mafisaidi wameamua kiuhamia Zanzibar na habari zinasema kwamba Karume kasema marufuku kuwaona katika Ardhi ile .Ila wao wameamua kufa na Masauni .Kiapo chao bado kipo kwamba lazima wapewe nafasi katika vijana vinginevyo watafanya kweli .Kama ilivyo kuwa kwa EPA sasa wacha tuone hili linakuwaje .Kikao cha jana mchana hapa Dodoma nyeti bado sijazinyaka lakini nami kama nzi siondoki kutani na hadi kieleweke na nitazimwaga hapa hadharani kabisa nikisha nyaka yaliyo jiri .
   
 7. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Muungwana analo jina la katibu anayemtaka tayari, ambaye Jumamosi alikutana kwa faragha na rais Karume kupanga mikakati mipya, na you got it right Karume ameapa kuwa atakufa na any fisadi atakyejaribu kuwagusa wagombea kutoka huko, kampeni ya Z.Kawawa imeshaanza tayari.

  Lete habari huko Mkuu Lunyungu!
   
 8. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Samwel doe naye wakati anapindua nchi alitumwa na mafisadi ili akishatekeleza hilo azimio la kumuua rais awape mafisadi hao nchi,lakini yeye alichofanya baada ya kumuuwa rais akajitangaza yeye ndie rais mafisadi yale akayatupilia mbali.

  Rais wa poland mwenye elimu ya veta VAWESA(WAŁESA) naye alitumwa na maprofesa mvua kwenda kutekeleza azimio lao na akimaliza kazi yake awakabidhi hao maprofesa nchi,lakini baada ya kupata nchi akawa yeye rais na kumitupilia mbali mi prof.

  Sasa swali kama mafisadi ndio wamemweka JK ulingoni yeye anashindwa nini kufanya kama wałesa na doe??
   
 9. M

  MpiganajiNambaMoja Member

  #9
  Nov 6, 2008
  Joined: Sep 20, 2007
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini si unakumbuka yaliyomkuta doe? kwa hiyo unataka JK afanyiziwe kama doe?
   
 10. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280

  Lakini pia WAŁESA hakuna yaliyomkuta mpaka leo yupo anapeta mtaani.Kwanini JK yasimkute ya WAŁĘSA??
   
 11. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  JK anatakiwa kuwapiga roba kabla ndoto zao hazijapata tafsiri.
  Akumbuke siasa ni kama dimbwi la maji machafu, mtu hakawii kufa maji au kupata vikombe kwa kushindwa kupiga mbizi.
   
 12. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  JK siyo Walesa. Period.
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  JK hapa kanasa na hana la kufanya .Mimi kama nilivyosema ni kwamba namwangalia kwa makini na jambo hili la Uchaguzi .JK ana mtu wake anayemtaka awe Katibu Mkuu yes lakini mafisadi nao wanapigwa mkwara kuingia Zanzibar .Ngoma bado mbichi na hatutaacha kusema .

  Mkuu Es niko natafakari uamuzi wa aina mpya ya wabunge .Yaani JK anakosa mwelekeo kiasi hiki hadi CCM inakuwa mbele na Taifa nyuma ? Wacha tuone nini Watanzania watafanya .
   
Loading...