Recent content by mpenja jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wana-CCM tusikae kimya Serikali ikikosea, tuwe wakali na jasiri kukosoa

    Huyu jamaa nimegundua ni mnafiki, anatumia nguvu kubwa ili utawala wao uonekane ulikuwa mzuri, kumbe ndo kipindi ambacho ukikosowa unapotea
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukiunganisha dot ndo utaelewa: Alitolewa Kakoko bandarini akatolewa Chamriho ujenzi, akatolewa Kalemani Nishati n.k

    Wakati wa mwenda zake mlilalamika, amekuja mama mnalalamika wa tz mnataka nini? Kwani kuona huo mkataba wa Bagamoyo hadi tuamini maneno ya mwendazake?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliisuka 'System' ikasukika,tunaishi kwenye kivuli hicho

    Dah hii mada tamu sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Hivi ndivyo nilivyoshuhudia maandamano ya Kinondoni na jinsi watu walivyopigwa risasi

    Kwani hatuwezi kushtaki the hage?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naona hatari mbele, gari lipo mwendo wa kasi

    Roger roger check time check time nyosha maelezo, over
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nani anaua watu wetu?

    Sad
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Jehanamu ni habari za kutungwa

    Hakuna jehannam!! Ila duniani ukiiba unatupwa jela , ukiuza unga unanyongwa, ukiua unauliwa au unafungwa maisha, ila mungu alokuumba ww na kukuumbia kila kitu ukimuasi akuache tu au sio? Kasome vizuri ndugu yangu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu, neno Tanzia linatumika vibaya!

    Kwani ta a Zia unavyojua inamaana gani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mimi Kama Shabiki wa Dar Yanga SC nawatakia ushindi Azam FC dhidi ya Yanga SC

    Simba c kitu bila ya mo, kaduguda anataka pesa zake za chapati
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

    Namuonea huruma mzee Tido mhando kufanya kazi nchi hii shida angebakihukohuko mbele
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waraka maalum kwa Klabu ya Yanga: Hii hapa nafasi mpya ya kujikomboa kifedha

    Sasa mbona hujaelezea yanga inatakiwa ifanye nn au njia gani kujikomboa ulichofanya kumpaka matope manji tu mm nadhani ww ndo wale wale tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uume mkubwa umekuwa kero

    Dah pole sana , swali kwenu wadada mnataka nn? Kibamia au mashine mnatusumbua sana jamani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Trump ni mbaguzi wa rangi, ayaita mataifa ya afrika MACHAFU

    Ndo wakati wakutulia nyumbani kwetu maana jirani keshasema sisi wachafu msimchfulie sebuleni kwake.
Back
Top Bottom