Recent content by Mpemba asilia

  1. M

    #FreeMaxenceMelo: Tukibaki kimya sote tumekwisha

    Kila lenye mwanzo lina mwisho wake pia either uwe mzuri au mbaya.JF ina member wengi nje ya tanzania ambao pia ni wachangiaji wa mijadala hapa.Mwisho wa hii vita sio mzuri kw member sisi wote.
  2. M

    Updates: Kampeni za mgombea urais kupitia CCM ndani ya jiji la Arusha

    Ameshindwa kubadili mfumo wa rushwa kwenye wizara ya ujenzi ataweza vipi kubadili mfumo mzima wa ccm??!
  3. M

    Magufuli

    Ahahahhhahh
  4. M

    Updates: Kampeni za mgombea urais kupitia CCM ndani ya jiji la Arusha

    Mi huwa napata shida sana nikikutana na nyie mnaosema magufuli ni mtu wa maadili na mchapa kazi! Hebu nipe fact zako 2 tu zinazikufanya umpigie kura yako magufuli!(andika point pls sio matusi wala kejeri)
  5. M

    Mbowe rudisha hela zetu

    Mnalipwa na ccm kuanzisha hoja zisizona maana mkijifanya ni ukawa??!hivi nyie kijani mbona mmechoka akili kiasi hiki?😳
  6. M

    Interrogating CHADEMA and UKAWA decision of accommodating Lowassa (Uchambuzi wa kina kuhusu uamuzi w

    Ndugu mtoa mada!nadhani kuja kwa Lowasa ukawa ni sahihi.mpaka sasaiv lengo kubwa la mabadiliko tunayotaka sio tu lowasa kuwa rais bali tunataka mfumo mzima wa serikali kubadilika,Leo hii incase magufuri akiwa rais mfumo uleule wa ccm na mawaziri na manaibu na makatibu wakuu na wakurugenz wote...
  7. M

    Sina hamu na mume wangu

    Msamehe Na muombee kwa muumba amsamehe pia!kwn ni shetani alimpitia tu!ila fikilia sababu gani ilimfanya akatoka nje ya ndoa,isijekuwa wewe ndo chanzo cha tatizo hilo.Na usipompa K ujue unampa chance secretary kumalizia Kitandani kabisaaaaaa!pole sana Lakini.
  8. M

    Kilichowasomesha wahaya

    Ahahaha!inafuata kitu Omuramba no rubisi! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  9. M

    Tutawafuata m23 kokote watakakokimbilia-JW.

    Noted mkuu!anayeshabikia vita natumahi hajui effect za vita. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  10. M

    Ukiondoa Uzinzi, Tabia gani au kitu gani kingine ambacho hupendi mke/mumeo akifanye?

    Duh!mbona mengi. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  11. M

    Habarini members

    Karibu jamvini! Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  12. M

    Ukiwa na Leseni ya Bara hauruhusiwi kuendesha gari Zanzibar!

    Kila nchi kuna taratibu zake za kupata leseni Kama angeenda driving schools Na kupewa cheti asingepewa hilo likaratasi,yeye kataka shortcut Na amepewa alichokitaka.Hayo ni mapungufu ktk wizara husika,lkn huwezi wahukumu watu wote eti ni wabaguzi.Kila mtu anayo mapungufu yake lakini si wote,wapo...
  13. M

    Ukiwa na Leseni ya Bara hauruhusiwi kuendesha gari Zanzibar!

    Pole Kwa yalokukuta kaka,ukiwa bara ni vigumu kujua matatizo yaliyopo ktk muungano huu,Mimi nilipoingia Zanzibar-Pemba yapata miaka 6 iliyopita sikujua Kama muungano una matatizo yake, Suala la Leseni ni kweli wanazo Leseni zao za smz za kadi zilizoanza tolewa takribani miaka kumi iliyopita,sisi...
  14. M

    Ni Hotel/decent guset house gani nzuri pemba?

    Inategemea unaenda pemba mkoa gani!Kama ni chakechake kuna guest house iitwayo Pemba lodge,njia ya tibilinzi,ni 35000 per. Day.ni nzuri.Na kuna Pemba misari hii ni dola 100 per day, Kama unaenda Wete unaweza fikia Farouq lodge ni 30000 per day. Karibu sana ktk kisiwa cha karafuu, Sent from my...
  15. M

    Magari moja kwa moja toka Japan

    Nimekupata mkuu!ngoja niongeze msuri kidogo!soon nitakufuata tena. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Back
Top Bottom