Submissive
Member
- Sep 19, 2012
- 73
- 21
Habari wana JF.
Ninasafiri kikazi kwenda Pemba, naomba kama kuna mtu anayejua normal hotel or decent guest ambayo naweza kukaa aniadvise. Sijawahi kabisaa kufika huko kwenye visiwa vya karafuu. Chondechonde wasije wakani Fr. Mushi.