Mbowe rudisha hela zetu

Mbowe rudisha hela zetu

Ulivyopigika wewe unaweza kuchangia. Au umepigika unataka kupewa hela na siyo kurudishiwa!.
 
CCM kazini kamuulize January Manyororo zile hela za kuhonga wasanii anatoa wapi ili akupe kama Lumumba Posho Zimeisha
 
Unataka hela zako?Hebu tupia hata kapicha karisiti uliyochangia kama ushahidi wako urudishiwe chako!
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

Hohehahe kudai kafilisika nacho ni kioja.
 
MBOWE RUDISHA HELA ZETU:
Sisi kama wana ukawa tuna haki ya kuuliza mapato na matumizi ya hela tulizochangia!MBOWE kama umeshindwa kutoa hesabu ya fedha tulizochanga na matumizi yake,tunaomba uturudishie!Watanzania tumeshtuka

Utawahi kuwa mwana ukawa gamba wewe!
 
Ipo mkuu inakuja
Wanaiita opereshen funga kampen
Kuelekea mabadiliko

Jmn neno mabadiliko limetajirisha sana watu

Makamanda wenzangu tusiwe mazuzu namna hio
Hata kama viongoz wetu wanatumia nguvu za giza ili watutawale

Kweendraaa gamba wewe.
 
.. Navi boi.. Mtafi nyie makinda jing@ kbsa naona uchk unawasumbua. ..Hebu Nendeni mkakojoe mkala
 
Last edited by a moderator:
Uzi wa magamba wameanzisha wenyewe wanachangia wenyewe kama chadema... Kweli utafiti wa twawezeshwa kwa vijana wa Ccm ulikuwa sahihi.
 
Zito alijifanya kuhojihoji vitu kaka,angalia leo alipo!!Waliobaki ndani ya chama ni mamburura na ndio maana waliambia wasiongee ishu za ufisadi na wakakaa kimya hadi leo!!


Hata wale mafisadi papa wametoweka kutoka kwenye website ya chadema.
 
Mnalipwa na ccm kuanzisha hoja zisizona maana mkijifanya ni ukawa??!hivi nyie kijani mbona mmechoka akili kiasi hiki?😳
 
Back
Top Bottom