Mkuu, hayo ni maswali yako, sidhani kama ni kweli maswali hayo yanatutesa wana JF. Wengi wetu sisi wana JF tunateswa na swali la, "Nitapata wapi hela leo?"
Anyway, Nitasaidi kidogo kujibu swali la kwanza!
Tujifunze na kufahamu kwanza, 1 ni nini, 2 ni nini na 11 ni nini. Lakini pia alama + ni...