Vidonge vile ni ant-pain, hutumiwa kuondoa maumivu, ila maumivu yakizidi muone daktari!Naomba kujuzwa matumizi ya hivi vidonge Vivian, maana kuna mtu anaumwa kichwa kaandikiwa hivyo avitumie lakini havimsaidii.
Asanteni
Takwimu za watumiaji zinaonyesha kuwa asilimia 20, huwa hivi vidonge haviwasaidii kabisa,hivi vidonge Vivian
Asante sana, ila kaambiwa vinatibu kichwa, je ni kweli?Takwimu za watumiaji zinaonyesha kuwa asilimia 20, huwa hivi vidonge haviwasaidii kabisa,
View attachment 2010821
Nadhani yeye ni miongoni mwa hao asilimia ndogo, hivyo ni vyema aende hospitali aonane na daktari kwa msaada zaidi.
Nadhani ni Dawa ya kutuliza maumivu na sio kutibu. Aende hospitali akajue sababu ya kichwa kuuma atibiweAsante sana, ila kaambiwa vinatibu kichwa, je ni kweli?
Hizo Vivian ni diclofenac..kichwa kinaumaje na wakkat ganiNaomba kujuzwa matumizi ya hivi vidonge Vivian, maana kuna mtu anaumwa kichwa kaandikiwa hivyo avitumie lakini havimsaidii.
Asanteni