mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Sio Africa mkuu Ni hukohuko sijui Ni Barbados au Himalaya Wana ziba KANDAMIZIO kwa ala na wadada waziba kwa KANEPI KA KAMAJANIHapana umemchanganya na mtawala mmoja wa nchi ya africa
Maajabu hayaishiWachina nao Wana tamaduni Yao.
View attachment 1789972
Nimesoma mahali wanasema hio"Koteka"au penis guide inakuwa na kamba mbili moja IPO chini karibu na korodani na nyingine inashika koteka na kungushiwa kiunoni ndio maana inakuwa imesimama hata kwenye hizo picha ukiangalia kwa ukaribu utaona kauzi keusi kameshikilia 'Koteka' kutokea kiunoni.Kuna swali halijajibiwa kwamba ili dushe ifit kwenye hiyo hala ni lazima iwe erect muda wote au?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa Ni watu wa kabila gani,nchi gani mkuuNimesoma mahali wanasema hio"Koteka"au penis guide inakuwa na kamba mbili moja IPO chini karibu na korodani na nyingine inashika koteka na kungushiwa kiunoni ndio maana inakuwa imesimama hata kwenye hizo picha ukiangalia kwa ukaribu utaona kauzi keusi kameshikilia 'Koteka' kutokea kiunoni.
Kwa maana hii sio lazima iwe imesima muda woteView attachment 1790859
Papua New Guinea
Hapo bila shaka wamesimamishaMaisha rahisi tuView attachment 1784893
Wewe¡!Duh Kwahiyo muda wote inabidi dushe iwe imesimama maana hilo cover litafiti vipi? Afu sura zao mmh kama watu pori vile
Hi Mat !nini mbaya hapo?😛
Wal hata sijasoma ulichoandika.Hi Mat !nini mbaya hapo?![]()
Ooh mi mzima mkuu, vipi wewe?
Papua New Guinea
Watu wa America ya KusiniHapo ndio utaamini kuwa kujakwawazungu barani africa kulileta ustarabu ....
hivi kwani kinachowaumizeni nikitu gani ?Hao kazi zao lazima mwanamke ukajikande halafu kutembea ni kwa kuchechemea