Recent content by Mpangamji

  1. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

    Umesema upo Tabora, tafuta mti unaitwa gogondi ni maarufu sana mkoani Tabora, tumiq majani yake kama chai kila mara, ukiweza usiweke sukari, kunywa mara 3 kwa siku, pia wakati wa chakula cha jioni kula ukisindikizia na chai hiyo isiyokuwa na sukari. Ni majani mazuri yenye uchachu kiasi, pia...
  2. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Ipi ni VPN nzuri

    Mkuu asante, umenirudisha hewani
  3. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mbegu za mnyonyo(castor seeds)

    bei gani kwa kilo?
  4. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kilimo cha umwagiliaji (Irrigation)

    Mkuu naomba mrejesho wako kama ulifanikiwa kununua solar pump, na je ufanisi wake ukoje. Natanguliza shukrani
  5. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Sijawahi kuitumia ila wanaotumia wanadai inasaidia. Menya viazi mviringo kiasi kitakachokupatia juisi glass moja. Tengeneza juisi asubuhi na kunywa glass moja kabla ya kula chochote na baki bila kula hadi ipite walau saa 1. Kisha endelea kula kama kawaida. Juisi inatia kichefuchefu wakati wa...
  6. Mpangamji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo

    Fuata ushauri wa Sakayo,
  7. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Hizi ni mbegu za mmea gani?

    Hizi mbegu mwisho wa siku zitasababisha kifo hapa jamvini, wengine wanasema mbegu hizo zinatokana na miti (hizi sizifahamu, labda zinaweza kuwa salama), lakini hizi zinatoka kwenye mmea unaotambaa kwenye miti mbegu za mmea huo ni sumu.
  8. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania ATCL mtandaoni ni aibu!!!

    Pia walink payments na simu kama Mpesa, Airtel, Simbanking n.k
  9. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye swali lolote kuhusu water quality

    Mkuu wapi nitapata chlorine granular kwa ajili ya kutibu maji
  10. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza NHIF kadi ya bima ya taifa ya afya

    Toa ripoti polisi wakuandikie loss report, nenda na loss report kituo chochote cha bima ya afya watakupatia fomu za kujaza na kulipia Tshs 20,000 bank. Watakutengenezea kadi nyingine
  11. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Magufuli, unayajua ya Hazina na Msajili wake mpya?

    Kwa hiyo anayefuata ni msechu?
  12. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Tetekuwanga (Chicken Pox): Maambukizi, dalili, madhara na tiba

    Kama unayafahamu matete, chukua machanga chemsha, oga maji yake na kunywa kidogo
  13. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Wapiga dili hupiga hivi kupitia 'Fixed deposit Accounts'

    Ni kweli nchi hii asilimia 80 ya watanganyika ni vilaza, dili likisukwa vizuri ni asilimia 5 tu wanaweza kugundua, na watagundua kwa matokeo ya mpiga dili, vitabu vyote hata kama CAG mwenyewe akifanya audit haoni kitu
  14. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Mkuu Ramea watoto wa nguruwe wanapozaliwa wanakuwa na upungufu wa madini ya chuma, pia mwili wake unakuwa na uwezo mdogo sana wa kuzalisha damu ya kutosha, hivyo inashauriwa siku ya tatu baada ya kuzaliwa watoto wa nguruwe wachomwe sindano ya dawa yenye madini ya chuma, pia unatakiwa uwakinge na...
  15. Mpangamji

    JamiiForums Tanzania NGARA: Malori mawili yateketea kwa moto, dereva anusurika kifo

    Kwa nini walikuwa wanafaulisha?
Back
Top Bottom