Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 4,722
- 3,164
mkuu,mimi nahitaji kufahamu ikiwa mtu kaleta maji yake au umeenda kupima sample ya maji katika eneo fulani lada ukakuta hayo maji yana pH ndogo sana pia yana mineral contents ya kiasi kikubwa kuliko ile standard au ilokuwa allowed mfano ikiwa ni maji ya kisima then mtashauri mtu afanye nin au mtadhibiti vp hizo contents ili maji yawe salam na yaendelee kutumika?