ATCL mtandaoni ni aibu!!!

ATCL mtandaoni ni aibu!!!

Yaani sasa ndio nimeelewa pale JPM aliposema analeta wataalamu wa haya mambo toka Rwanda. Hawa wetu wamelala sana. Wao ndio walitakiwa wawe mstari wa mbele kupigia kelele haya mambo.
Hivi hawa wetu wana baraza lao kweli, kama madaktari, wahandisi, au accountants?


Kote ulipopataja ni hayo hayo, Tanzania Mwenyezi Mungu katupa kila kitu katunyima akili.
 
Hao hao mnapinga serikali kuajiri watu wenye GPA 3.8 and above tu! Jamani sekta binafsi waliona hayo mapema, huwezi kuta kilaza huko!
Utakuta IT walioajuriwa hapo wana GPA ya 4 halafu mambo yao ndo utajua sasa kwa nini namba 9 inaweza tu kuwa 6.
 
ATCL na serikali walikurupuka wakadhani ukinunua ndege kwa ''cash'' basi changamoto zote za kibiashara zitakuwa zimekwisha.
Af mbaya zaidi ni kulidekeza toto kwa kutowashindanisha na waliokwenye game mda mrefu na kuwawekea vikwazo vingi ili toto pendwa lifike mbali kumbe ni kudumaza sekta ya anga..mashirika kama fast jet na Precision yalianza kusettle ila sasa kumekua na vikwazo vingi kwe uendeshaji wake ili kumbeba mtoto pendwa
 
Af mbaya zaidi ni kulidekeza toto kwa kutowashindanisha na waliokwenye game mda mrefu na kuwawekea vikwazo vingi ili toto pendwa lifike mbali kumbe ni kudumaza sekta ya anga..mashirika kama fast jet na Precision yalianza kusettle ila sasa kumekua na vikwazo vingi kwe uendeshaji wake ili kumbeba mtoto pendwa
Hahahaaa! umenikumbusha movie moja ja Jack Chen, ila sikumbuki jina la movie. Kuna toto moja lilipelekwa dojo na baba yake. Toto lenyewe zembe kinoma halafu bonge nyanya flani wala halielewi. Dingi yake alikuwa mtu fulani, sijui alikuwa analipa pesa nyingi au ni muheshimiwa!, sikumbuki vizuri. Sasa dingi alikuwa anakuja dojo kuangalia maendeleo ya mwanae. Yule master alikuwa anawaambia wanafunzi wengine...."dingi ya huyu mtoto akija kuangalia mazoezi, nikikupanga ku-fight na huyu dogo, usimpige. Muache tu akupige". Basi dogo ilikuwa ukifika muda dingi yake kaja, kapangwa na jamaa. Alikuwa anawatifua ngumi za kizembe. Ukimuona utacheka ufe. Huku dingi yake anatikisa kichwa....yes, dogo kaiva.
Umenikumbusha hii movie mkuu.
 
bodi bADO MPYA, hata uongozi ndo umeingia madarakani mnataka ghafla tu waanze kushindana na kina fastjet/precision waliokomaa kwa makarne?
 
Pia walink payments na simu kama Mpesa, Airtel, Simbanking n.k
 
Back
Top Bottom