Recent content by Mpandafarasi

  1. Mpandafarasi

    First African smartphone and tablet designs are launched

    By Caroline Baldwin Friday 28 December 2012 11:18 A touchpad tablet and a smartphone have been launched by the Congolese company, VMK, and claim to be the first African designs on the market. The Way-C touchpad and Elikia smartphone, which are manufactured in China, were designed by the...
  2. Mpandafarasi

    Mh. Deo Filikunjombe salute...

    Chama,you talk of so many things which are unfounded and unrelated to the matter. For instance; "We are on the verge of cleaning the house" Which house are you cleaning? Of what dirty? You say ‘we' who are the ‘we' so you are on JF to clean your dirty party? Good to note so, but...
  3. Mpandafarasi

    Mh. Deo Filikunjombe salute...

    What are the "shits, assess and ****s" for here? Poor Chama
  4. Mpandafarasi

    Mh. Deo Filikunjombe salute...

    Chama hizo ni chuki binafsi na tunakufahamu
  5. Mpandafarasi

    Deo filikunjombe mtu msafi je petrol station yako kwanini uliuza wakati wa kampeni??

    Mtoa thread, nimekusoma ila kwa taarifa yako, nimetoka Ludewa juzi tu, kule jamaa anakubalika, sijui unaongelea Ludewa ya wapi ni hii ya Njombe? Hapo umechemsha bro, muulize vizuri aliyekusimulia.Huyu jamaa kule wanampenda kiukweli. Hapa umepiga majungu bro. Huo ugomvi unaouzungumzia ni kati...
  6. Mpandafarasi

    Wanahabari wakwepa mbinu chafu za ccm kuwalaza katika danguro mafinga

    Wanahabari wa vyombo mbali mbali mkoani Iringa leo jana walionyesha kuwa wao si watu wa kupelekwa pelekwa na chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa baada ya kugoma kulazwa katika gesti moja mji mafinga wilaya ya Mufindi ambayo CCM ilikuwa imewaandalia wanahabari hao zaidi ya watano ambao...
  7. Mpandafarasi

    Nape atimiza umafia Mwanza

    Haijalishi, iwe ni wanchama wa CDM kurudisha kadi, au CCM kupata wanachama wapya, jambo la msingi hapa ni dhahiri kuwa CCM imeshindwa kuendesha nchi. Huhitaji kuwa na degree ili kulitambua hilo! Na ni vema ikafahamika kuwa, kuifikia hiyo 2015 mnayoitaja kwa hali ya sasa si kitu ndogo, pana kazi...
  8. Mpandafarasi

    Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    Suala hapa si kuunga au kutounga mkono huo mgomo. Jambo la msingi ni Serikali kuwa serious katika kuwajali wananchi wake kihuduma. Serikali hapo serious hata kidogo kwamfano; Kwangu mimi ni serikali ndiyo inayochochea madhara ya mgomo huu, masuala hayo ya madaktari si ya leo ni ya muda mrefu...
  9. Mpandafarasi

    Picha Matukio Ludewa - Filikunjombe apitiliza matarajio ya wengi

    Umesema unakerwa sana? unakerwa na watoto yatima au kitendo cha mbunge kula nao na kutoa msaada? Nukufahamuvyo wewe pale mtaani kwenu kuna yatima kibao, hata kule kijijini kwenu wapo,tena wengine ni watoto wa ndugu wa ndugu zako, wewe umewasaidiaje? au mimi ndi sijaelewa hapa, hana nia ya dhati...
  10. Mpandafarasi

    Wanaopinga mahakama Kadhi "Intellectual Arguments" only

    Guys, hapa si suala la Mahakama ya Kadhi kama ilivyo. Waislamu tunahaki ya kuanzisha Mahakama ya Kadhi, but kinachopingwa, naomba ifahamike ni kuhusu kuihusisha Serikali katika mchakato huo. Serikali haiwezi kutamka kuwa mahakama ya Kadhi ianzishwe au isianzishwe! La pili linalopingwa kisheria...
  11. Mpandafarasi

    Kofi Annan awarded Honorary Doctorate by Glasgow Caledonian University,UK

    Kofi Annan awarded Honorary Doctorate by GCU 18 November 2011 Dr Annan with GCU Principal Professor Pamela Gillies Nobel Laureate Kofi Annan has been awarded an Honorary Doctorate of Laws by Glasgow Caledonian University (GCU) for his work to address international issues such as the...
  12. Mpandafarasi

    Ali Hassan Mwinyi kupewa Phd na Open University (Honorary Doctor Of Letters D. Lett)

    Wakuu kama kawa tunaendelea kuwapata madoctors hapa Bongo. Open University nao kwa kufuata wenzao wa Mlimani wameamua kumtuza Mzee Ruksa lidigrii la Udaktari. Kwa maelezo zaidi bofywa katika mtandao wa Chuo Kikuu Huria katika list ya prospective graduands pg 53.
  13. Mpandafarasi

    Deo Filikunjombe: Mbunge anayefanya makubwa jimboni mwake

    Inawezekana hiyo ikawa ni rishwa. Lakini ikumbukwe kwamba kwa baadhi ya maeneo kama huko Ludewa, ni bora mtu anayewapa hata hako ka-ambulance kuliko maneno matupu. Hii ni kwa sababu, serikali imesahau sana maeneo kama hayo. Ukifikiria ki-mjini waweza sema, ni bora wabunge wasitoe misaada lakini...
  14. Mpandafarasi

    An Open Letter to Shy-Rose Bhanji

    Be it ni maneno ya mkosaji au la, the guy is driving this country to the unkown. Nchi imemshinda JK jamani. Kutokukubaliana na hili pia ni hypocrcy!
  15. Mpandafarasi

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Tupo pamoja wakuu, natia timu huko facebook pia. Aluta continua.
Back
Top Bottom