Deo filikunjombe mtu msafi je petrol station yako kwanini uliuza wakati wa kampeni??

Hata wewe ukipewa nafasi utakula na kujipendelea ndo hulka ya binadamu.Ubaya ni kula hadi unastukiwa.
 
Yale yale! Dr. Salim mwarabu eti alimuua karume! "Findoli Mwanoko" kuchafuana mtaacha lini nyie magamba?
 
Deo Filikunjombe, mwacheni atulie tayari ameonyesha kuwa ni mtu anayekubali mabadiliko ya kweli..... MAGAMBA WANATAKA KUMTOA KAFARA, Kwenye kampeni mlikuwa wapi kutoa taarifa hizi? acheni hizo!!
 
Nilisema mimi!! mtu ambaye hana elimu mlitegemea nini?? Deo Fulikinjombe ana madhambi yake alijisahau kwamba watu wanajua akadhani akipiga kelele basi watu hawatafichua uovu wake. Kweli toa boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Ile sukari bohari kuu Makambako ilikuwa inahusuuuuu??????
 
kuku kapanda baisikeli, Bata kavaa Raizoni!!

ebu kalalee kama huna la kufanya.... wtf...

Kama Haumjui Deo filikunjombe nenda ludewa........jamaa ameshajua safari yake na Magamba imekuwa nzito baada ya kutambua miguu haina nguvu tena ya kukimbia. Deo amejikuta akiwa na ugomvi kila mara na watendaji wa halmashauri kwakuwa hawakufanya kile alichokitaka wakati wa uchaguzi "Ushindi wa Kishindo" ile nae aonwe walau apewe kawizara aka "ulaji" Deo alishiriki katika hila mbali mbali ikiwa ni kumnunua mwenyekiti wa chadema Ludewa na kumtangaza Mpinzani ambaye hakuwa anakubalika.......wakati CC ilimtaka mwingine.... Deo ndio amelobby Mradi wa Umeme na Maji uwe katika Kata ya wazazi wake kwa kutumia influence yake na ukaribu na wazungu.....Deo toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako......
 
Thats why JF inaitwa home of great thinkers. kama huna evidence its better ukajoin na blogs za majungu.
 
Nilisema mimi!! mtu ambaye hana elimu mlitegemea nini?? Deo Fulikinjombe ana madhambi yake alijisahau kwamba watu wanajua akadhani akipiga kelele basi watu hawatafichua uovu wake. Kweli toa boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Ile sukari bohari kuu Makambako ilikuwa inahusuuuuu??????

Pakawa, naona umechanganya majina. Mwenye ile sukari ya magumashi pale Makambako alikuwa ni Deo Sanga (Jah People). Deo Sanga (std. III) na Deo Filikunjombe (Makerere University) ni wabunge wawili tofauti.
 
Huyu jamaa mtoa mada nadhaani angutufuchulia maovu ya watu(hasa wabunge na mawaziri) wengine ambao maovu yao hatuajayajua,siyo adandie treni kwa mbele.
 
Join Date : 21st March 2012
Posts : 16
Rep Power : 310
Likes Received7
Likes Given2
Vip deo kasababsha mrija wa mijihera ukatwe kwako au kwa watu wako wa karibu nini?
Pole ila hoja za apo juu hazina uzito jipange

pokea hiyo likeeeeee
 
sasa kuuza stesheni yake si alikuwa anatafuta fedha za kampeni? Na huo mradi wa maji si bora ye aliyevutia kwa wazazi wake na wananchi wengine wa karibu wanafaidi? Si kuna wengine dar wameyeyuka na mabilioni ya bucha na haipo kabisa? Au amejenga bomba moja kwao tu? Umesahau kwamba kuna miradi mingi ya maji imeishia njiani na fedha hazipo? Nani tumuone anafaa? Kumnunua mwenyekiti wa cdm una ushahidi? Kuna sehemu nyingi tulisikia mambo hayo mf ismani,musoma lakini kumbuka tunaenda na ushahidi vinginevyo kila kinachosemwa kingekuwa kinafunga watu.

Mtoa thread, nimekusoma ila kwa taarifa yako, nimetoka Ludewa juzi tu, kule jamaa anakubalika, sijui unaongelea Ludewa ya wapi ni hii ya Njombe? Hapo umechemsha bro, muulize vizuri aliyekusimulia.Huyu jamaa kule wanampenda kiukweli. Hapa umepiga majungu bro.

Huo ugomvi unaouzungumzia ni kati ya nani na nani? Unasema kwa kuwa hawakufanya kile alichokitaka, angekitaka kama nani?Kwani halmashauri ndio wanaopanga matokeo ya uchaguzi? Tena umesahau huyu jamaa hakuwa na mpinzani,ushindi wa kishindo angeupata dhidi ya nani?

Unasema umeme ameloby uwekwe ktk kata ya wazazi wake. Hivi unajua unachokiongea hapa? Wazazi wake wanaishi pale Ludewa mjini-wilayani na pale pote pana umeme. Ni wapi huko waliko hao wazazi wengine zaidi ya baba na mama yake? Halafu, kama kuna sehemu imewekwa umeme hivi karibuni Ludewa ni kijiji cha Madunda/Mawengi. Huko mbona ni Wakatoliki-Jimbo la Njombe ndio walioweka umeme wa maji na sio mbunge wala serikali? Hivi umefanya utafiti kabla ya kuibuka na hiyo mada yako au umekurupuka tu? Au umetumwa kama wadau walivyosema?
Hitimisho:
1. Inaonesha hujafanya utafiti kabla ya kuibuka na mada yako
2. Inaonesha unapenda sana majungu ndiyo maana umetungatunga utumbo na kutuletea humu JF
3. Inadhihirika pia kuwa unachuki binafsi,au umetumwa,kama kisima cha mafuta alikiuza si chake?
4. Halafu pia huna uwezo mzurti wa kufikiri kwa sababu,kichwa cha thread yako kinaonesha ni petro station na ndani ya issues zako umeongelea utumbo mwingine.
5. Mwisho nakukumbusha kuwa, JF si kisima cha majungu, ni home of thinkers!
6. Kama umetumwa urushe majungu humu JF pole,ila tambua ****** na imbeciles ndio wanaotumwa kama si majini,je wewe ni mojawapo?
7. Kama hujatumwa nakusamehe,ila tambua kuwa majungu si mtaji na humu JF si mahala pake.

Ni vema tukawa waungwana na kumsifia mtu anapofanya mazuri. Huyu jamaa tukubali jamani, ni shujaa na ameonesha utayari katika kuipigania Tanzania tuitakayo, hii ipo wazi na imejidhihirisha hivi karibuni juu ya sakata lililopelekea mawaziri kubanwa. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni jamani. Big up Filikunjombe, Big up wapiganaji wote mliopo mjengoni.

Nawasilisha.
 
Kama Haumjui Deo filikunjombe nenda ludewa........jamaa ameshajua safari yake na Magamba imekuwa nzito baada ya kutambua miguu haina nguvu tena ya kukimbia. Deo amejikuta akiwa na ugomvi kila mara na watendaji wa halmashauri kwakuwa hawakufanya kile alichokitaka wakati wa uchaguzi "Ushindi wa Kishindo" ile nae aonwe walau apewe kawizara aka "ulaji" Deo alishiriki katika hila mbali mbali ikiwa ni kumnunua mwenyekiti wa chadema Ludewa na kumtangaza Mpinzani ambaye hakuwa anakubalika.......wakati CC ilimtaka mwingine.... Deo ndio amelobby Mradi wa Umeme na Maji uwe katika Kata ya wazazi wake kwa kutumia influence yake na ukaribu na wazungu.....Deo toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako......

Jibu rahisi sana. Aliuza ili apate fedha kwaajili ya shughuli zake nyingine pamoja na uchaguzi. Hayo mengine ni baseless and unfounded submissions.
 
Kimfaacho mtu chake kumbuka kwenye uchqguzi lazima kunakuwa na gharama za kampeni sasa ulitaka akaombe wakati anajua ana kitu (asset) inaweza kumsaidia?
 
Nilisema mimi!! mtu ambaye hana elimu mlitegemea nini?? Deo Fulikinjombe ana madhambi yake alijisahau kwamba watu wanajua akadhani akipiga kelele basi watu hawatafichua uovu wake. Kweli toa boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Ile sukari bohari kuu Makambako ilikuwa inahusuuuuu??????

Mkuu unaonekana unakatabia ka uzandiki sana!
 
Mtoa thread, nimekusoma ila kwa taarifa yako, nimetoka Ludewa juzi tu, kule jamaa anakubalika, sijui unaongelea Ludewa ya wapi ni hii ya Njombe? Hapo umechemsha bro, muulize vizuri aliyekusimulia.Huyu jamaa kule wanampenda kiukweli. Hapa umepiga majungu bro.

Huo ugomvi unaouzungumzia ni kati ya nani na nani? Unasema kwa kuwa hawakufanya kile alichokitaka, angekitaka kama nani?Kwani halmashauri ndio wanaopanga matokeo ya uchaguzi? Tena umesahau huyu jamaa hakuwa na mpinzani,ushindi wa kishindo angeupata dhidi ya nani?

Unasema umeme ameloby uwekwe ktk kata ya wazazi wake. Hivi unajua unachokiongea hapa? Wazazi wake wanaishi pale Ludewa mjini-wilayani na pale pote pana umeme. Ni wapi huko waliko hao wazazi wengine zaidi ya baba na mama yake? Halafu, kama kuna sehemu imewekwa umeme hivi karibuni Ludewa ni kijiji cha Madunda/Mawengi. Huko mbona ni Wakatoliki-Jimbo la Njombe ndio walioweka umeme wa maji na sio mbunge wala serikali? Hivi umefanya utafiti kabla ya kuibuka na hiyo mada yako au umekurupuka tu? Au umetumwa kama wadau walivyosema?
Hitimisho:
1. Inaonesha hujafanya utafiti kabla ya kuibuka na mada yako
2. Inaonesha unapenda sana majungu ndiyo maana umetungatunga utumbo na kutuletea humu JF
3. Inadhihirika pia kuwa unachuki binafsi,au umetumwa,kama kisima cha mafuta alikiuza si chake?
4. Halafu pia huna uwezo mzurti wa kufikiri kwa sababu,kichwa cha thread yako kinaonesha ni petro station na ndani ya issues zako umeongelea utumbo mwingine.
5. Mwisho nakukumbusha kuwa, JF si kisima cha majungu, ni home of thinkers!
6. Kama umetumwa urushe majungu humu JF pole,ila tambua ****** na imbeciles ndio wanaotumwa kama si majini,je wewe ni mojawapo?
7. Kama hujatumwa nakusamehe,ila tambua kuwa majungu si mtaji na humu JF si mahala pake.

Ni vema tukawa waungwana na kumsifia mtu anapofanya mazuri. Huyu jamaa tukubali jamani, ni shujaa na ameonesha utayari katika kuipigania Tanzania tuitakayo, hii ipo wazi na imejidhihirisha hivi karibuni juu ya sakata lililopelekea mawaziri kubanwa. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni jamani. Big up Filikunjombe, Big up wapiganaji wote mliopo mjengoni.

Nawasilisha.

Akimaliza kusoma hapa akatafute kopo la chooni then ajisafi maeneo yake! Kama hajaelewa na kuacha uzandiki basi kuna siku atavalishwa kanga.
 
Back
Top Bottom