Muoneshe mapenzi ya kiwango cha juu kadiri uwezavyo huku ukitafuta gheto hapo hapo mtaani hakikisha siyo mbali na nyumbani then panga but usiache kuwahudumia wanao.mwanamke hapigwi mangumi na mateke braza ulikosea sana unampigaje mwanamke physically bwana?
Kwa hiyo unataka kusema hujui kuwa watz wameichoka CCM na MFUMO WAKE PAPA WA KIFISADI hivyo wanahitaji mabadiliko? Alikuwa sahihi kuchukua fomu kwa sababu hakuwa na sababu ya kuhama CCM.Kwa sasa cha msingi ni kuing'oa CCM na MFUMO WAKE WA KINYONYAJI then mengine baadae
angalau tuokoe...
vya kuambiwa changanya na vyako pia muogope sana mtu anayekwambia faida za jambo fulani tu bila kukwambia hasara zake watu wanabuni mbinu za kupiga hela pengine bila kujali utu.Sijawahi kusikia kampeni za kutangaza hasara za tohara ila nasikia kampeni za faida tu NINA MASHAKA NA HII KAMPENI!
Uko sawa kabisa nadhani wanaUKAWA hawajashtuka kuwa kuna wanaCCM wametumwa humu kuleta chokochoko za kujifajiri na kuwafariji wenzao wasihame chama mwanaUKAWA SHTUKA usipoteze muda wako bure zaidi dumu ukimwomba Mungu akujalie UZIMA hadi tarehe 25 octoba angalau tuokoe rasilimali zilizosalia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.