Josorobert
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 629
- 215
Tatizo mkiambiwa ukweli mnalalamika.Wabebaji ni magamba. Ukawa huenda wenyewe na ni lazima watumie usafiri tena wa
kwao wenyewe

CHADEMA WAIBUKA NA STYLE TOFAUTI:
Hatimaye Chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.
Ukawa hawana kitu saahizi sera za kuwavutia watu hazipotena lazima wafanye hvyo
Mkuu na hizo picha hapo juu Ukawa wanasingiziwa?Wabebaji ni magamba. Ukawa huenda wenyewe na ni lazima watumie usafiri tena wa
kwao wenyewe
CHADEMA WAIBUKA NA STYLE TOFAUTI:
Hatimaye Chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.
ina maana ile ya ccm ni ya kizamaniHapa kweli ni style mpya
Igeni na push up pia, ila mpige karibu na zahanati msije kusumbua ambulance.
Wabebaji ni magamba. Ukawa huenda wenyewe na ni lazima watumie usafiri tena wa
kwao wenyewe
Kipaumbele cha kwanza, ELIMU. Kipaumbele cha Pili, ELIMU. Kipaumbele cha tatu ni ELIMU. Watu wa CCM eleweni kuwa ugomvi wetu na nyie siyo watu wengi kupanda Gari moja, bali ni watu wengi kupanda Gari moja bila ya kuchangia bali gharama za zoote zinabebwa na CCM, huko ndiyo kusombwa kama Viazi Vitamu vya Gairo!
Wanachadema wanachangishana kwenda kwenye mikutano kwenye majimbo yao ya vijijini ambayo ni makubwa sana, lakini hawabebwi toka jimbo moja kwenda jingine ili waende kujaza uwanja!!
Mbona hata Mh. Dk. J.P Magufuli mwanzoni mwa kampeni zake za kuwania Urais alijinadi kwa kusema yeye hatotumia Ndege ktk kampeni zake. Lakini leo hii, mmmmmh...... Usitukane mamba hali hujavuka mto
Mbona hata Mh. Dk. J.P Magufuli mwanzoni mwa kampeni zake za kuwania Urais alijinadi kwa kusema yeye hatotumia Ndege ktk kampeni zake. Lakini leo hii, mmmmmh...... Usitukane mamba hali hujavuka mto
Kipaumbele cha kwanza, ELIMU. Kipaumbele cha Pili, ELIMU. Kipaumbele cha tatu ni ELIMU. Watu wa CCM eleweni kuwa ugomvi wetu na nyie siyo watu wengi kupanda Gari moja, bali ni watu wengi kupanda Gari moja bila ya kuchangia bali gharama za zoote zinabebwa na CCM, huko ndiyo kusombwa kama Viazi Vitamu vya Gairo!
Wanachadema wanachangishana kwenda kwenye mikutano kwenye majimbo yao ya vijijini ambayo ni makubwa sana, lakini hawabebwi toka jimbo moja kwenda jingine ili waende kujaza uwanja!!
CHADEMA WAIBUKA NA STYLE TOFAUTI:
Hatimaye Chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.
CHADEMA WAIBUKA NA STYLE TOFAUTI:
Hatimaye Chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.
Uko sawa kabisa nadhani wanaUKAWA hawajashtuka kuwa kuna wanaCCM wametumwa humu kuleta chokochoko za kujifajiri na kuwafariji wenzao wasihame chama mwanaUKAWA SHTUKA usipoteze muda wako bure zaidi dumu ukimwomba Mungu akujalie UZIMA hadi tarehe 25 octoba angalau tuokoe rasilimali zilizosalia kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho DELETE CCM!Wanaukawa nawashauri tu tuachaneni na post za hawa Maccm hakuna haja ya kuzisoma wala kuzichangia. Naona yamekuwa mengi sana humu