Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Umetoka kuwa mtoto wa fisadi mpaka muuza mihogo? Maana wewe tunakujua ni mtoto wa mafisadi.Mimi nikikuta muuza mihogo ya kuchoma anafungia vijigazeti kama hivi hata mihogo yenyewe sili
Umetoka kuwa mtoto wa fisadi mpaka muuza mihogo? Maana wewe tunakujua ni mtoto wa mafisadi.Mimi nikikuta muuza mihogo ya kuchoma anafungia vijigazeti kama hivi hata mihogo yenyewe sili
Umetoka kuwa mtoto wa fisadi mpaka muuza mihogo? Maana wewe tunakujua ni mtoto wa mafisadi.
Akili ya Lowasa yakawaida sana hata kiranja mkuu anaweza kuwa na upeo kuliko Lowasa .
Lowassa hatokuja kumsahau Jakaya Maisha yake yote yaliyobaki. Jk ni zaid ya Mwanasiasa
Oyooooooooo umewuwaaaa weraweraweraaaaaaa!Kumbe kasema atawapa wafanyabiashara wa tanzani vitalu vya gesi, huyo ndio saafi sasa kuliko angewapa wachina, lowasa oyeeeee
una roho ngumu!Magufuli hoyeeeeeeeeeeeedeeeeeeee
#HapaKaziTu
oyooooooo uko sawa ndugu DELETE CCMHaki utumwa ni mbaya sana yaani hata uongo hamjui kutunga?wewe umemuona kwako akikuomba pesa?kuna ndugu yako ameombwa pesa?unaushahidi upi?yaani ccm wamekosa pakutokea sasa imekula kwenu
Mwambie huyo huo uzushi akafie nao hukoooo,DELETE CCMVijana wa ccm na vyombo vya habari vya ccm akili zao zimemfanania nape kuropoka tu bila hata kuwaza cha kusema
lowassa atawatishiaje wafanya biashara? Uliwahi kusikia wapi akiongea ovyo kama magufuli na nape? Lowassa ni mtu mstaarabu hana tabia ya kijinga kama yenu
Masikini CCM ing'atuka hairudi tena!Huu si mwaka wa mashetani kusherekea ushindi. Apandacho mtu ndicho atavuna. Watanzania hawadanganyiki kwa mavazi wala vyakula na vinywaji vya rushwa