Recent content by Mp Kalix2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo atinga ofisi za IMF Washington DC

    Mkuu Maxence Melo natumai umetumia furasa hiyo kutongoza ufadhili ya IMF kwenye program kwa vijana kwenye eneo la IT .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kubenea tena!Apingana na Katiba ya Chama chake hasa kipengere kinachowazuia wanachama wake kwenda kuhoji maamuzi ya Chama Mahakamani

    Demokrasi ni watu na si maamuzi ya Mahakama. Wengi wape!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Azam na utaratibu wa kizamani

    Online payment and online Booking ni muhimu kwa Dunia ya leo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Part 4: TISS bado safari ngumu

    Mungu ambariki na kuendelea kumpa moyo wa Uvumilivu!. Kwa hakika atakuwa amepitia mengi mpaka sasa! Kubwa ni kwa vipi tumefikia hapa na mbeleni kunajipi ya kujikwamua nalo? Je TISS isukwe upya? Maana kwa sasa inavyoonekana Siasa imekompromise Hadhi na Misingi ya Taasisi!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Jamaa atakuwa alikuwa na DNA ya Hitler
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

    Hivi kesi shangazi alifungua au ulikuwa mkwara?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nikiri wazi: Namfahamu shetani

    Yaani hapo ndipo panaleta shida! Hivi kisichoonekana kimepataje jina na hadhi kubwa kiasi hiki?. At least Yesu na Mitume watu wamepata kuwashuhudia.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nikiri wazi: Namfahamu shetani

    Cc Mshana Jr ! Je shatani ana rangi gani?. Nyeusi au Nyeupe?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    Mengine yote unamuonea tu Mkurugenzi. Hoja hii inamhusu Mwenyekiti wa CCM- Mstari wa mwisho. Tanzania itaendelea kuwapo hata bila CCM,CDM nk.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu: Mimi ni namba 2 Tanzania, sina cha kunishawishi kuwania namba 3

    Kumbe Mama anajua kuna chuki. Basi anafaa kutumia Namba 2 yake kuweka mambo sawa! Ni wakati mama wa kwanza kuijenga Jamii yake! Kupitia nafasi yake VIP achukue hatua ya kuiepusha Zanzibar na 2000/2001 incident. Kupitia Mzee karume Serikali ya Ummoja wa Kitaifa ifufuliwe kuelekea 2019-2020. Na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sababu tatu za kisheria za kumnyima urithi mrithi halali

    Hii ina dot connection na Issue ya Mzee?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Teknologia ya kisasa ya kuzima moto "ELIDE FIRE BALL EXTINGUISHER"

    Hii kitu kwa sasa kwenye magari inafaa kuwa mandatory 2pc na kuendelea kutegemea na ukubwa wa Gari.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha

    Hatari sana!. Hakuna natural act kwenye zoezi zima. Nahisi hadi uzao wa Pacha kwa hili nji kama ndoto
Back
Top Bottom