Recent content by MP CHACHANDU

  1. MP CHACHANDU

    Ajira za serikali kumponza Waziri Kairuki

    KATIKA sehemu ya kwanza ya uchambuzi huu jana, ilielezwa jinsi mawaziri 13 wa serikali ya awamu ya tano wanavyokabiriwa na mtihani mgumu kutekeleza bajeti ya kwanza ya serikali kabla ya kuanza kwa vikao vya Bunge la Bajeti Aprili 4. Pia, baadhi ya mawaziri kivuli walibainisha kuwa utekelezaji...
  2. MP CHACHANDU

    Mbowe, Steven Nyerere mikononi mwa polisi

    Baba yako ndoo atanyoka si analala njaa paka wewe
  3. MP CHACHANDU

    Msaada: Jinsi ya kutuma maombi NECTA

    Ingia mpesa *150*00# bonyeza na 4 pay for mpesa then bonyeza enter business number then endelea unachoshindwa nini ? Wakati kwenye Nacte guidebook wameelekeza na wamekuwekea business number
  4. MP CHACHANDU

    Msaada: Jinsi ya kutuma maombi NECTA

    Ukishakosea kutuma pesa huwa hairudishwi na Nacte tafuta pesa tuma upya unless utachelewa tu
  5. MP CHACHANDU

    Msaada: Jinsi ya kutuma maombi NECTA

    Wapi ambapo umeshindwa sasa ?
  6. MP CHACHANDU

    Msaada: Jinsi ya kutuma maombi NECTA

    Umeshatuma pesa kwenda Nacte ?
  7. MP CHACHANDU

    Halotel kuna shida ya mtandao au???

    Halotel wameshaanza upumbavu kama voda wajinga sana hawa tangu asubuhi internet inasumbua
  8. MP CHACHANDU

    Siasa za Tanzania -Bendera na kadi zapangwa kuchomwa U/Taifa

    Hizo kadi za ccm wamezitoa wapi ?wewe chura ? Ndoo maana siro alijitokeza na kupiga biti si kada wa ccm
  9. MP CHACHANDU

    Msaada jinsi ya kulipia NACTE

    Unaanza na lipa kwa m,pesa
  10. MP CHACHANDU

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Makonda ndoo fisi gani
  11. MP CHACHANDU

    Msaada: Jinsi ya kutuma maombi NECTA

    Nacte not necta take care
  12. MP CHACHANDU

    Natamani kusoma Telecommunication engineering Abroad

    Ngumu sana wanachukua form six pure
  13. MP CHACHANDU

    Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Diploma in education management and administration na diploma in inspection school
Back
Top Bottom