Msaada: Jinsi ya kutuma maombi NECTA

Antony Jr

Member
Feb 21, 2017
53
4
Naomba mnifahamishe jinsi ya kutuma maombi Necta yaan ku aply nmetuma 20000 lkn inaonyesha nmebugi hasa pale kwenye kuanza kutuma hela unaingia kwenye no ya compuni au WAP? wakuu nmeshapoteza 20 wakuu japo imeingia kwenye account ya Necta lkn uthibitisho aujarudi wakuuu
 
Mmhh sio kwa kulipualipua huko tulia andika vizur
Ushaur wangu nenda kwenye website ya Nacte utaona Maelezo yote
 
Sawa kwa hiyo pale hulipi kwa company sio
Ingia mpesa *150*00# bonyeza na 4 pay for mpesa then bonyeza enter business number then endelea unachoshindwa nini ? Wakati kwenye Nacte guidebook wameelekeza na wamekuwekea business number
 
Ingia mpesa *150*00# bonyeza na 4 pay for mpesa then bonyeza enter business number then endelea unachoshindwa nini ? Wakati kwenye Nacte guidebook wameelekeza na wamekuwekea business number
Sawa mkuu inabidi nifike hadi Huduma za kielimu pale sio mkuu c unajua mala ya kwanza mkuu ila nakushukuru mkuu
 
Back
Top Bottom