kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,546
Kibaya customer care hawapokei simuYani hawa ndo walikuwa na ahueni naona na wao wameanza kupata wazimu
Kibaya customer care hawapokei simuYani hawa ndo walikuwa na ahueni naona na wao wameanza kupata wazimu
Inawezekana kuna kaukweli maana tangu Jana usiku huku nilipo kuna mawingu na mvua ndo imeanza kunyesha sahivi.Halotel ni tatizo,ukijaribu kufuatilia utagundua kuwa kipindi mvua ikinyesha mtandao wao unasumbua sana,ukiwa Dodoma hali ni mbaya zaidi,unakuwa maeneo ya katikati ya mji lakini mtandao uko very unstable sijui wana shida gani.
Mkuu kuhama xi rahisi hivyo voda,ni kinyonga,+500MB70,Kweli mm nabaki halotelNdo vitu vya kichina hivyo. Bakini hukohuko.
HahhahahahahahahUkiwa na akili za kipopoma ni shida sana. Umezoea kujikosha unataka wote tuwe Kama wewe? Wewe ndo wale wanaotembea na magari ya shemeji mjini halafu sifa kibaooo.
HeheheheMkuu kuhama xi rahisi hivyo voda,ni kinyonga,+500MB70,Kweli mm nabaki halotel
Sasa mimi nimekumbana na tatizo yani nikituma sms kwa mtu wa tigo zinaenda kaa watu tofauti randomly yani from halotel to tigo zinaenda namba za tigo randomly.Wakuu naomba kuuliza. Tangu Jana usiku simu yangu iko slow Sana mpaka sahizi inaload kwa muda mrefu Sana. Tatizo ni Halotel au??
Mwezi ukiisha zina expire lakn ukiwahi kuweka kabla kifurushi kuisha zinabakiHalafu zina expire