Recent content by mozze

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuikomboa CCM: Watanzania huu ni wakati wa maamuzi magumu!

    Huu unakuwa kama ushabiki tu.... Tatizo la CCM sio Lowasa wala Chenge, those are only few people na CCM sio hao watu tu. Tatizo la CCM ni Kutowajibika...Period! Kuanzia kwa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa Chama...mpaka kwa watendaji wa kata na vijiji. Hawa watu wanaofanya kazi serekalini wote ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuikomboa CCM: Watanzania huu ni wakati wa maamuzi magumu!

    Unajua, nadhani watu wanaleta ushabiki tu hapa! Tatizo la CCM sio Lowasa wala Chenge, those are only few people na CCM sio hao watu tu. Tatizo la CCM ni Kutowajibika...Period! Kuanzia kwa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa Chama...mpaka kwa watendaji wa kata na vijiji. Hawa watu wanaofanya kazi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe aongelea yaliyojiri Ikulu

    OOK I think kutakuwa na mabadiliko makubwa kwenye kikao kijacho cha Bunge. Logic: Rais kama mwenyekiti wa CCM hawazi kuwageuka wabunge wake wlaiopitisha sheria, kamwe isingewezekana akubali maoni ya Chadema moja kwa Moja bali anaweza kuyakubali kwa njia ya kuzunguka. Hili halihitaji mtu kuwa na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Nani anayeweza kuamini hili?

    Well kuwa na mafuta sio sababu ya kuwa tajiri. Kwenye uchumi kuna mambo mengi kama ingekuwa resources ndio muhimu basi Africa ingeongoza dunia. Saudi wana Mafuta lakini hawana resource nyingine muhimu kwa maisha, na kikubwa ni ukosefu wa created resources, technologia....na hii ndio inamaliza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Kiislamu zaisafisha CHADEMA

    Bakwata imeonekana inatumiwa na heshima yake imeshuka sana. Hata baada ya kauli zake zote Igunga imeonyesha kuwa watanzania hawana udini ila viongozi wa dini ndio wanaendekeza maslahi yao binafsi. Na kwa picha iliyotoka Igunga, bila shaka viongozi hawa wa dini wamejiuliza na kuona kuwa wimbo wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wachina hawafungui maduka leo huruma

    Hivi wewe unafikiri Serikali ya China ikisimamisha biashara na Tz japo kwa week moja uta survive? Au wakisitisha kutoa Viza kwa watanzania unafikiri Uchumi utaenda? Usiongee na kutota kauli zisizo na msingi, Chinese wanagombaniwa na mataifia makubwa, ni sisi Tanzania ndio tunaona hawafai. Nenda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hamishieni majeshi vijijini vinginevyo ukumbozi wa nchi hii ni ndoto

    Pamoja na umuhimu wake lakini nadhani CDM wawe makini wasije poteza nguvu na resources zao kufuata vijiji wakati wakiwawekawatu sawa mijini inatosha kabisa. Yunajua kabisa katika sehemu za mijini au karibu na miundo mbinu ndio kuna watu wengi, sehemu kama wilayani au Kwenye kata. Unajua CCM...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tume inachelewa kutangaza matokeo Igunga? Vurugu zimeanza

    Unajua TZ uzushi mwingi. Hawa NEC wanasema ati wanatumia technologia ya computer...sawa lakini wenyewe wanamaanisha matumizi ya excel sheet kujumlisha.... hivi kwa dunia ya leo excel sheet bado ni technologia NEC wanajisifia. Wewe kama hawana network na vituo vyote wanategemea karatasi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kwa watanzania mwezi Septemba 2011

    Sawa lakini ni suala gani alilolitoa lenye tija kwa taifa? Kutoa taarifa ya yaliyotokea, most of which ni personal...vitu kama tuzo etc vinasaidia vipi kurudisha umoja wa kitaifa? Anapoongelea mambo ya watanzania waishio Marekani, je yanawagusa vipi wananchi wa kawaida walio Tanzania ambao ndio...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kwa watanzania mwezi Septemba 2011

    Sasa kama Mkuu wa nchi anatoa Taarifa ya safari yake na mambo yaliyotokea, ambayo wananchi wameshayasikia kupitia vyombo vya Habari, kuna maana gari yeye kuwa na wasaidizi? Nilitegemea akiwa mkuu wa nchi angetoa chachu au michanganuo ya mipango ya maendeleo, at least on a monthly basis....yani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa Mh. Magufuli, et al:

    Zaidi ya haya, huyu ni waziri aliyetamka hadharani kuwa Lipumba alivunja sheria ya nchi bila kuchukua hatua yeyote..... je tunahitaji viongozi kama hawa?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Helikopta ya CCM yapotea kwa kukosa ramani; yarudi salama

    Yeah kuna dalili za ukweli kabisa. Unajua inawezekana kabisa kwa matarajio yao kuwa kungekuwa na watu wengi, kadri ya imani ya wana CCM wengi, lakini kila walipoenda hawakuona mkusanyiko ndio wakafikiri au wakazusha kuwa wamepotea..... hapakuwa na taarifa yeyote kuwa kulikwa na wananchi magali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo prof. Maghembe alivyopata ubunge wake Mwanga

    Kama nchi ingekuwa inafuata misingi ya sheria ushahidi kama huu ungetosha kabisa kumvua mtu ubunge. Hata yeye mhusika, kama akijua kuwa mambo yake machafu yako public anatakiwa kuwajibika. CCM wanaotaka kujisafisha mambo kama haya ndio wangechukua hatua za mara moja. Hakuna haja ya kusema sheria...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wiki ya kufa, kupona Igunga: HESABU ZAVIBAKISHA CUF, CHADEMA NA CCM KATIKA KINYANG’ANYORO

    Well muujiza sio kwa maana kwa kidini, bali ni jambo litakalotoea kinyume na matarajio ya wengi. Chama kitakachojipanga ndio kitashinda, na kwa jinsi ilivyo ni kati ya CCM & CDM. CDM wanajitahidi kuziba mianya ya wizi wa kura, CCM wanataka kutumia uzoeafu wao ndio mana wamealika wazee kufanya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wiki ya kufa, kupona Igunga: HESABU ZAVIBAKISHA CUF, CHADEMA NA CCM KATIKA KINYANG’ANYORO

    Well kwa tafsiri yangu nakuunga mkono. CUF walipata kura nyingi kwa sababu hapakuwa na upinzani, CDM mgombea alijiengua. Ukiangalia kwa makini utaona kuwa kuna dalili watu wa Igunga wanataka mabadiliko. Kama waliweza kumpa mgombea wa CUF kura 11,000 basi sasa wamepata nafasi nzuri ya wagombea...
Back
Top Bottom