Helikopta ya CCM yapotea kwa kukosa ramani; yarudi salama

Yaani CCM ni mufilisi kabisa, nilishasema lakini before......... Yaani huu ni ujuha, Viongozi waCCM wanatembea na misimu mikubwa mikubwa ya gharama ambayo definetely ina GPS wanapotea njia? Coordinates za vijiji vyote hivyo vya Igunga ziko kwenye mtandao. Lakini pia kama CCM wanatamba kila siku humu kwamba wanafanya kampeni nyumba kwa nyumba kwa nini basi kila mpiga kampeni wao asiende na simu yake eneo linakotakiwa kutua hiyo helkopta akarekodi coordinates wakamtumia Nchemba???? Ina matter of just one hour Vijiji vyote vitakuwa vimejulikana coordinates zake.

Hii imemuumbua Dr. Kafumu kwamba si lolote si chochote, hiyo elimu inamsaidia ni sasa kama anapanda helikopta inayoendeshwa kama baskeli "eti wanaongozwa na mtu anayeijua Igunga, pambaaaaaaaaffffffffff!!!!!!!!!!" Sasa hiyo midigrii yote ya nini kama anashindwa kuelewa hata mambo madogo kabisa kama haya!!!!!!!

Ukienda kwenye hiyo ramani hapa chini ukaizoom, you can get almost all mapped coordinates of that area.

28lrkwp.png

Mkuu hapo kwenye red ongeza kitanda kwa kitanda, mtu kwa mtu
 
..."CCM IMEPOTEZA DIRA"... huu nadhani ndo ule utabiri wa marehem Kolimba umeanza kutimia,si ramani ya kuiongoza hiyo helkopta tu bali ata raman ya kuiongoza hii nchi CCM waliishaipoteza siku nyingi sana...tusuburi tamko la mashek!
 
Sasa mkuu wa kaya aone utendaji wa ccm na watanzania wanavyoongozwa kwa kubahatisha. Siku hizi kuna magari yanamaps ukitaka kwenda sehemu ambayo huijui unaset gari linakuelekeza kuwa unaelekea wapi, na umefika wapi, na linakionyesha mpaka ufike ni kilometa ngapi. Ukipotea linabadilisha mlio kuashiria ulikoomba kwenda siyo huko.

Yaani walishindwa kugonga hata google maps. Kweli ccm kichekesho ndio maana kazi yao kulala tu bungeni.
 
Shame on you CCM hata GPS hamna!!!! Muokote wazee huko wakuongoza Helkopta.... Baadae muanze kuwalaumu!!!!
 
Tatizo la Kuinga Mbona ya CHADEMA haipotei? nani mwenyeji zaidi Igunga aliyekaa miaka 15 na mwenye miezi kadhaa? siku zote maigizo ni maigizo tu, hata ungeweka waigizaji wazee kuigiza uzee huo huo bado yataonekana maigizo, CCM mnatakiwa kubuni stail nyingine ya kampeni,ya Helkopta waachieni CHADEMA, CUF walianza na Punda nikawaona very creative lakini nimeshangaa nao wamefuata maigizo hayo,hayo, naombea tu wasipotee wote angani wakagongana, ikawa taabu
Mungu Linda amani Igunga siku ya uchaguzi na baada
 
unaomba au unaamuru???
 
mi natamani ndege ya rais ipotee halafu isionekane tena....what a joy that will be!

ndege na magari yao ya kifahari yapotee yote njia halafu yafika kwa alshabab. Wanaoyatumia wote wachinjwe, alshabab wayataifishe yasirudi tz
 
Yaani CCM ni mufilisi kabisa, nilishasema lakini before......... Yaani huu ni ujuha, Viongozi waCCM wanatembea na misimu mikubwa mikubwa ya gharama ambayo definetely ina GPS wanapotea njia? Coordinates za vijiji vyote hivyo vya Igunga ziko kwenye mtandao. Lakini pia kama CCM wanatamba kila siku humu kwamba wanafanya kampeni nyumba kwa nyumba kwa nini basi kila mpiga kampeni wao asiende na simu yake eneo linakotakiwa kutua hiyo helkopta akarekodi coordinates wakamtumia Nchemba???? Ina matter of just one hour Vijiji vyote vitakuwa vimejulikana coordinates zake.

Hii imemuumbua Dr. Kafumu kwamba si lolote si chochote, hiyo elimu inamsaidia ni sasa kama anapanda helikopta inayoendeshwa kama baskeli "eti wanaongozwa na mtu anayeijua Igunga, pambaaaaaaaaffffffffff!!!!!!!!!!" Sasa hiyo midigrii yote ya nini kama anashindwa kuelewa hata mambo madogo kabisa kama haya!!!!!!!

Ukienda kwenye hiyo ramani hapa chini ukaizoom, you can get almost all mapped coordinates of that area.

28lrkwp.png
Hilo ni Tatizo la CCM kukurupuka bila kujiadaaa wao wanafikiri helkopta tuu inatosha haitaji maandalizi haohao walibeza kwa CHADEMA kutumia Chopa sasa iweje kufuata mkumbo .Hivi karibuni katika bunge tulishuhudia Mh. Nahodha kufata mkumbo kutumia Ipad kusoma bajeti ambapo baadae iliishiwa charge na hatimae kurudi kwenye makaratasi baada ya Zitto kutumia Ipad.CCM mnapashwa kuelewa teknolojia mpya sio yenu.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
nimejichekea...manake ni ajabu rubani kuongozwa kwa vidole...anaambiwa tua paleee...hahaha..do! Magamba ful magumashi kwa kweli. My wish was wangekufilia mbali!

ha ha ha ha ha ha ha nilitaka kuandika kitu kama hiki, nilipo soma tu heading nikaangua kicheko...walikua wanaelekezana kama wamepanda ngamia
 
Hawa watu ni waongo........hawakupotea ila kilichotokea watu hawakujitokeza kila walipokuwa wakienda

Yeah kuna dalili za ukweli kabisa.
Unajua inawezekana kabisa kwa matarajio yao kuwa kungekuwa na watu wengi, kadri ya imani ya wana CCM wengi, lakini kila walipoenda hawakuona mkusanyiko ndio wakafikiri au wakazusha kuwa wamepotea.....
hapakuwa na taarifa yeyote kuwa kulikwa na wananchi magali wakiwasubiri bila wao kutokea, hivyo itakuwa ni FIX tu.
 
Hao masaburi wamelewa Hela za ufisadi, Ukizingatia wamepata tena billion 111 za Dowans, wanawaza tu mgawo , na jinsi ya kutumia na mahawara zao.

Ukipata hela za ufisadi maana yake umepata hela bila kutumia ubongo.

Akili zao wanawaza tu kuongeza mahawara na kuwajengea majumba.

Wenzetu China wanapeleka vyombo angani, Hao wakoloni weusi (CCM) wanashindwa kutumia GPS na CHopa inapotea??

Shame!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom