Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao. Naye atafuta kila chozi kutoka katika macho yao, na kifo hakitakuwapo tena, wala kipigo, wala KILIO, wala mafuriko, wala maombolezo wala kilio wala maumivu hayatakuwapo tena. Ufunuo 21:3,4
Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji. Ningependa kushuhudia ufugaji wa wengine unavyoendelea na kupata ushauri kutoka kwa mfugaji mwenyewe ili niweze kujifunza vizuri zaidi, Tafadhali kama kuna mfugaji wa kuku wa kienyeji aliepo Iringa naomba tuwasiliane apa chini.
mussah1993@gmail.com
hivi VETA mna matatizo gani??? Inawachukua mwaka mzima mpaka kutoa vyeti kwa wahitimu wenu. Hamuoni kama tunarudishana nyuma? Mtu anamaliza level 3 mwaka 2017 anasubili cheti mpaka 2019 kweli? Au Nyie mko nje ya wizara ya elimu mseme. au hamjapewa kipaumbele..
Attachments:
VETAPIC.jpg
File...
hivi VETA mna matatizo gani??? Inawachukua mwaka mzima mpaka kutoa vyeti kwa wahitimu wenu. Hamuoni kama tunarudishana nyuma? Mtu anamaliza level 3 mwaka 2017 anasubili cheti mpaka 2019 kweli? Au Nyie mko nje ya wizara ya elimu mseme. au hamjapewa kipaumbele..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.