Vodacom Tanzania msinizoee kabisa

Lets Get Together

JF-Expert Member
Nov 26, 2019
258
427
Vodacom nyie ni takataka kabisa nilikua nawaona wa maana sana lakini nyie ni rubish Indeed mazafanta.

Yaani nimejiunga kifurushi cha dk150 voda, dk 15 mitandao yote + 1GB, maajabu yenu nyie wahuni mmenipa dakika lakini MB 0 (zero) yaaani mmenila MB zote juu kwa juu.

Nawapigia huduma kwa wateja wananiletea story za masaa 24 watashughulikia wakati me nina shida na MB muda huu.

Nasema hivi VODACOM TANZANIA acheni uhuni na wizi maaanina zenu.

Songesha mmenipa 28,000/= kesho mapema sana naichomoa af mazoea yanakatia hapo. Yaaaani msinizoeee kabisa maanina.

Screenshot_20200426-223532.jpg
 
Ila kusema ukweli, mtandao wa voda una ujanja ujanja mwingi sana. Binafsi line yangu isingekua ni ya kiofisi, kitambo ningehamia Airtel.

Yaani mitandao mingine kutuma hela au kuangalia salio NMB mobile ni bure, wao voda wanakata hela! Ni walafi mpaka wanakera.
 
Back
Top Bottom