Shetani na wafuasi wake wanapojigeuza na kujifanya malaika

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
37,201
85,303
Watu hawa hujifanya wema sana machoni na mbele za watu wengine, na huendelea kujigeuza mwenyewe kuwa malaika wa nuru. Kwa hiyo si jambo kubwa kama wahudumu na wafuasi wake shetani wakiendelea pia kujigeuza wenyewe kuwa wahudumu wa uadilifu. Lakini mwisho wao utakuwa kulingana na matendo yao.
2 Wakorintho 11:14,15.

Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao. Naye atafuta kila chozi kutoka katika macho yao, na kifo hakitakuwapo tena, wala kipigo, wala Corona, wala mafuriko, wala maombolezo wala kilio wala maumivu hayatakuwapo tena. Ufunuo 21:3,4.
 
Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao. Naye atafuta kila chozi kutoka katika macho yao, na kifo hakitakuwapo tena, wala kipigo, wala KILIO, wala mafuriko, wala maombolezo wala kilio wala maumivu hayatakuwapo tena. Ufunuo 21:3,4
 
Watu hawa hujifanya wema sana machoni na mbele za watu wengine, na huendelea kujigeuza mwenyewe kuwa malaika wa nuru. Kwa hiyo si jambo kubwa kama wahudumu na wafuasi wake shetani wakiendelea pia kujigeuza wenyewe kuwa wahudumu wa uadilifu. Lakini mwisho wao utakuwa kulingana na matendo yao.
2 Wakorintho 11:14,15.

Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao. Naye atafuta kila chozi kutoka katika macho yao, na kifo hakitakuwapo tena, wala kipigo, wala Corona, wala mafuriko, wala maombolezo wala kilio wala maumivu hayatakuwapo tena. Ufunuo 21:3,4.
Dikiteita haya hawayasikii. Asante kwa neno jema la matumaini
 
Magufuli a one term president
Mimi nafikiri ikitokea akakosa kura lazima uchaguzi huo ufutwe na utawekwa mwingine. Nadhani pia kwamba hata baada ya 2025 anaweza akaongeza miaka mingine 5. Hali ya demokrasia Tz imekuwa mbaya mno.
 
Back
Top Bottom