Kwa utaratibu huu VETA mnapunguza kasi ya muheshimiwa raisi.

Moussa21

Member
Jun 3, 2015
52
16
hivi VETA mna matatizo gani??? Inawachukua mwaka mzima mpaka kutoa vyeti kwa wahitimu wenu. Hamuoni kama tunarudishana nyuma? Mtu anamaliza level 3 mwaka 2017 anasubili cheti mpaka 2019 kweli? Au Nyie mko nje ya wizara ya elimu mseme. au hamjapewa kipaumbele..
 
Attachments

  • VETAPIC.jpg
    VETAPIC.jpg
    10.1 KB · Views: 32
hivi VETA mna matatizo gani??? Inawachukua mwaka mzima mpaka kutoa vyeti kwa wahitimu wenu. Hamuoni kama tunarudishana nyuma? Mtu anamaliza level 3 mwaka 2017 anasubili cheti mpaka 2019 kweli? Au Nyie mko nje ya wizara ya elimu mseme. au hamjapewa kipaumbele..
Kweli walahi hawa ndio wanaorudisha nyuma maendeleo ya vijana walahi watumbuliwe walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VETA ya ajabu sana. MAAJABU YA VETA: 1. Mtu anaweza asifanye kale kamtihan ka LIFE SKILLS afu matokeo yakitoka ana "A" 2. Picha ya Juma kwenye cheti kuwekewa Julius ni kawaida 3. Kwa wale wanaoSUP matokeo kufungiwa bila sababu ya msingi ni kawaida yaani 6 wamengiwa afu mmoja yako sawa na ukifatilia wanakwambia hatuyaoni karudie upya mtihani nk. Mpaka nilijiuliza VETA inaendeshwa vipi?
 
Back
Top Bottom