Recent content by moureen mwakibinga

  1. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Hey bro I need ur contact nataka kuja canada through study root naomba ushaur wako nimejipanga kidgo
  2. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuroot simu za Android

    Mm jimefanikiwa kuroot cmu yngu swali ni je ninaruhusiwa ku unstall application niliotumia kuroot cmu yngu mi nimetumia kingroot na nikiunstall haitaleta matatizo yyte
  3. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kwenda Sweden

    Asa mapovu yoote hya kisa mwenzenu anatka kwenda sweden?loh wabongo mnaroho mbya ndo maana hamuendlei. Nenda tu kma unaweza kupata visa kule kuna kazi nying hasa kwa foreigners ilimrad tu uwe umesoma hata trade schools maana kule kazi nying ni za mikono na i.t
  4. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Kwan makonda hawez kushitakiwa ?kma clouds walikua hawana mahusiano yyte juu ya hyo clip ya gwajima tunaomba clouds media group wamshitak
  5. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Asante kwa thread nzur sina uzoefu wowte ule but kwa jinsi nilivofuatilia kwa makin njia rahic ni 2 tu 1.kupata mwenza uko akualike 2.kwa njia ya masomo japo ni vry expensive labda upate sponsor nchi za kwenda kwanza ni canada,australia,ujeruman japo kodi yao ni kubwa kwa asia japan na south...
  6. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda nje kutafuta maisha angalia vipindi vya Daring Abroad vya Kenya kwenye YouTube

    Yaan vijana wa west africa wapo karibu kila nchi wanatafuta maisha ni cc tu tumezubaa atlist wenzwtu kenya na uganda utawakuta weng wapo dubai hapa mtu akileta uzi anatka kwenda sehemu ya mbali kutafuta maisha wankuja wapuuz ambao hta hwajawah kwnda posta wala uko anaokotaka mwenzi kwenda...
  7. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri uc browser kwenye simu yangu inafail kudownload

    Nshafnya ivo mkuu but hamna kitu
  8. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri uc browser kwenye simu yangu inafail kudownload

    Habar naomba msaada uc browser kwenye simu yangu nikidownload ikikaribia kumaliza inafail na kuandika retry na haijidownload tena msaada plz
  9. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Iv ningependa kujua kma mtu ametajwa na ahucki analipwa au?
  10. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Kuwait bans 5 Muslim countries to enter Gulf state..

    Yaan hawa watu ni htar wakipewa bunduki wanauana wenywe kwa wenywe yaaan namkubali sana trump he is very right[emoji51]
  11. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Siri ya utajiri wa Majizzo

    Umeongea point ni wivu tu unasumbua hapa majizo ameleta ushindani kwenye radio cloufs wenyw wanamuogopa na nimependa jinc anavyojiyangaza na imvestment aliofnya hasa katika mapresnter na matangazo big up bro[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
  12. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

    Iv kuna mtu mropokaji kuliko lisu?cjaona bdo awekwe tu ndani kama lisu heshima iwepo
  13. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    VP sis tunaoagiza mizgo China njia gani rahisi kwetu kampuni gani inafaa
  14. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    nahitaj kujua gharama za kutuma mzgo toka China how much per kg?
  15. moureen mwakibinga

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung galaxy s3 na s2 mpya

    kma huitaji o huna hela kaa kimya
Back
Top Bottom