Ukitaka kwenda nje kutafuta maisha angalia vipindi vya Daring Abroad vya Kenya kwenye YouTube

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,994
Wengi huogopa kwenda nje ya nchi kutafuta maisha.Ili kujifunza angalia vipindi vya DARING ABROAD VYA WAKENYA ambavyo viko kibao kwenye youtube.Andika kwenye google DARING ABROAD KENYA YOUTUBE VITAKUJA KIBAO.kimoja hiki hapa

Na kutoka ughaibuni ya channel ten!!
Haina haja ya kumaliza bando
Tatizo hivyo vipindi vya channel 10 haviko kwenye youtube.Mtu akitaka kuvitazama lazima aangalie live.Mkuu kuna link yoyote vipindi vilivyopita ambavyo mtu aweza vitizama?
 
Ntafatilia nahitaj kujifunz namna y kwend kusak nje duh maisha hayaeleweki
 
Tatizo hivyo vipindi vya channel 10 haviko kwenye youtube.Mtu akitaka kuvitazama lazima aangalie live.Mkuu kuna link yoyote vipindi vilivyopita ambavyo mtu aweza vitizama?
Sina uhakika kama youtube vipo
 
Yaan vijana wa west africa wapo karibu kila nchi wanatafuta maisha ni cc tu tumezubaa atlist wenzwtu kenya na uganda utawakuta weng wapo dubai hapa mtu akileta uzi anatka kwenda sehemu ya mbali kutafuta maisha wankuja wapuuz ambao hta hwajawah kwnda posta wala uko anaokotaka mwenzi kwenda hapajui utackia maisha magumu uko mra wanatesa mra cjui wabaguz ivo vtu vpo ktka maisha hta hpa hpa tz watu wanabguana wabongo tunapenda kukatisha wenzetu tamaa maisha ni popote na uko kwa wenzetu kuliko endelea ndiko kuna maisha
 
Wabongo ni wavivu hata kwenda mikoa mingine
Safari anayo ijua ya kutafuta maisha ni kwenda Dar tu, yaan mtu hawez toka lindi akaenda Mbeya kuchaki life
Yet kwenda Rwanda Burundi kuna tushinda
Sisi bado sana kwa kweli
 
Yaan vijana wa west africa wapo karibu kila nchi wanatafuta maisha ni cc tu tumezubaa atlist wenzwtu kenya na uganda utawakuta weng wapo dubai hapa mtu akileta uzi anatka kwenda sehemu ya mbali kutafuta maisha wankuja wapuuz ambao hta hwajawah kwnda posta wala uko anaokotaka mwenzi kwenda hapajui utackia maisha magumu uko mra wanatesa mra cjui wabaguz ivo vtu vpo ktka maisha hta hpa hpa tz watu wanabguana wabongo tunapenda kukatisha wenzetu tamaa maisha ni popote na uko kwa wenzetu kuliko endelea ndiko kuna maisha
True...wabongo kwa kukatishana tamaa hawajambo, lakini nahisi ni wivuuu tuu
 
Back
Top Bottom