Salam Wana JF
Nimekuwa nkifatilia Kwa Muda kilimo Cha Mpunga, japo sjaingia rasmi.
Mwaka huu nmenunua Mpunga kwa wakulima na kuweka store nkisubiri bei zipande niuze nipate faida.
Nahitaji wenye uzoefu kwenye hilo eneo Kwa muda mrefu je, kipi Bora kununua kutoka Kwa wakulima au Kulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.