Tanzania ni nchi iliyotolewa macho sana na kutamaniwa na hawa majirani zetu. Waganda tulipigana nao vita kwa sababu ya kuitamani ardhi yetu.
Kagame kumsema Kikwete kipindi kile kuwa hajui kuiongoza nchi hii yenye rasilimali nyingi.
Watu wa Malawi wanataka ziwa Nyasa lote liwe lao. Sisi tuishie...
Wewe ni mshamba kweli. Ndoa ya mtu usiingilie. Ndoa inapaswa kuwa ndio kitu cha kwanza ndo ifuate chadema sijui ukawa. Kama wewe uko radhi kumuacha mkeo kisa chadema basi nenda kanisani kafunge ndoa na chama. Masuala ya nyumba ya mtu yanakuhusu nin?
Huna point ya msingi wala nini. Alipofungwa...
Nani amjuae Mkurugenzi wa bodi ya mikopo? Amwambie kuna vijana Wakitanzania wanaosoma Algeria wana hali ngumu sana kwa kucheleweshewa mikopo yao. Si vyema kuwapa shida watoto wetu kiasi hiki ilihali kampeni zinaendeshwa kwa mamilioni ya fedha.
Hata Magufuli alisema anashangaa kuona wanafunzi...
Pia naomba niulize kuwa je hatuna sheria ambayo itaweza kumsota rumande, huyu Jairo aliesaini barua ya kuwezesha utoaji wa rushwa ili bajeti yao dhaifu ipite, kwa muda ambao uchunguzi wa kashfa hii unafanyika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.