Suala la epa pia kufikishwa kwenye mikono ya sheria wachochezi wa vurugu tarime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suala la epa pia kufikishwa kwenye mikono ya sheria wachochezi wa vurugu tarime

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Eng Mayeye, May 24, 2011.

 1. E

  Eng Mayeye Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Navipongeza sana vyombo vya sheria nikimaanisha MAHAKAMA pia vyombo ya USALAMA nikimaani Police kwa jinsi wanavyoendelea kusimamisha MHIMILI mkuu wa Utawala bora na Utawala wa Sheria kwa jinsi wanavyoshughulikia suala la EPA na MGOGORO WA TARIME. Hongeren sana. Sisi wapenda amani, wazee, watoto hata akina mama tunawategemeen sana ktk kututetea.
   
 2. k

  kiloni JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe unajua nini kuhusu Tarime?!! Acha ujinga wenzio wanauawa ushahidi unataka kufichwa unadai walioficha ushahidi wameleta amani?!! wewe siyo mpenda AMANI ILA MNAFIKI NA MUOGA NA CHANZO CHA UMASKINI WA WATZ. POLE SANAA!
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,254
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  wewe ni mpumbavu mkubwa, acha kuropoka ropoka ovyo na hizo pumba zako. Unajua nini kuhusu Tarime? Watu wanauawa wewe unapongeza. Acha upuuzi.
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280

  Hii Akili haionyeshi kama ni ya Engineer!! Possibly ni ya kafisadi mtoto!!
   
 5. E

  Eng Mayeye Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mara ngapi wewe raia umejichukulia sheria mkonon kwa kuwaua raia kwa kisingizio et ni vibaka? Je ni kitabu gani cha sheria kinachobariki adhabu ya kifo kwa kibaka?? Tafakari sana ndugu yangu mtanzania mwenzangu. Anayeipiga ngoma mwenyewe haichezi we umeshupalia hadi mishipa ya macho kukutoka huku jasho lakumiminika mithiri ya mafuriko ya kwetu Kilosa.. Za mpiga ngoma changanya na zako halafu.....
   
 6. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Kumbe Mrogoro, Magamba damu.

  Kwanza ondoa hiyo Eng. nani kakupa, usifikiri ni kujiwekea tu hata kama ni fundi mchundo.
   
 7. M

  Mountainmover Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Ni kawaida jwa waliolishwa limbwata na CCM kutofikiri kabla ya kutema pumba zao kama viongozi wao walivyo.
   
 8. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli huyo eng kafilisika..labda taniboy wa mabasi ya gamba lao la morogoro abood..damu ya mtu huzaa matunda ya kudumu..mgogoro wa tarime hata wauchakachue vipi serikali mpaka hatua hiyo wametia aibu nafikiri pia wamejifunza sana.. Tunawaamini makamanda wetu Tundu lissu na mabere marando wataiburuza serikali mahakamani
   
 9. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Wadau msihangaike na huyu mtu ni mjinga flani anafanya kazi hapo buzwagi mines Kahama kajipachika uingnr wala sio.Hizi ndo post zake za hovyo asiwapotezee muda.
   
 10. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huwezi jua, labda hapo tumbo linafikri badala ya ubongo!
   
 11. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #11
  May 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hv Mwandiga hawajambo?
   
Loading...