Wanafunzi Algeria wacheleweshewa mikopo na Bodi ya Mikopo Tanzania

Mountainmover

Member
Nov 9, 2010
46
9
Nani amjuae Mkurugenzi wa bodi ya mikopo? Amwambie kuna vijana Wakitanzania wanaosoma Algeria wana hali ngumu sana kwa kucheleweshewa mikopo yao. Si vyema kuwapa shida watoto wetu kiasi hiki ilihali kampeni zinaendeshwa kwa mamilioni ya fedha.

Hata Magufuli alisema anashangaa kuona wanafunzi kucheleweshewa mikopo. Sasa na sisi tunashangaa pia nani wa kuchukua hatua? Lowassa alisema Bungeni viongozi wanalalamika, Wananchi wanalalamika, Nchi haiwezi kuwa ya walalamikaji lazima awepo mtu wa kufanya maamuzi.

Watu wa bodi fanyeni maamuzi.
 
Mmeambiwa chagueni lowassa msome bure mnalalamika, acheni mfe njaa, nami nasema njaa iwauwe tu. Maisha yakiwa magumu uarabuni watawamombasa ili mpate pesa nami nasema wawamombase tu.
 
mmeambiwa chagueni lowassa msome bure mnalalamika, acheni mfe njaa, nami nasema njaa iwauwe tu. Maisha yakiwa magumu uarabuni watawamombasa ili mpate pesa nami nasema wawamombase tu.

mkataa pema pabaya panamuita. Watz nawashangaa sana. Acha wanyooke
 
Tatizo sio loan board.tatizo ni uongozi mbaya na sera mbaya za serikali ya CCM.
 
Itabidi wafe tuu kwa maana hanmna njia nyingine.
Fedha zilizopo tunawapa Diamond na Shilole
 
Mmeambiwa chagueni lowassa msome bure mnalalamika, acheni mfe njaa, nami nasema njaa iwauwe tu. Maisha yakiwa magumu uarabuni watawamombasa ili mpate pesa nami nasema wawamombase tu.

Wacha wafe tu maana hakuna namna! Si ajabu nao wakawa ccm au wazazi wao,kwa ukichwa ngumu wa wana ccm ni bora wakafa tu maana hakuna jinsi tena.
 
Back
Top Bottom