Jilinde usichomwe na mfupa wa samaki na nyoka

Kuna siku nulishuhudia mabishano kilabuni!!! Nusu ya wanywaji walidai Nguruwe hana utumbo nusu nyingine wakasema Nguruwe ana utumbo !!
Mimi ndiio nilionekana msomi kwenye lile kundi!! Nikaulizwa !! Aise eti!??/mtaalamu twambie Nguruwe anautumbo!??
Daah!!! Sasa aliyeniuliza ni mtu wa heshima sana na ndie aliyekuwa boss( yan mnunuaji mkuu) na alikua upande wa nguruwe hana utumbo!!!
Aisee ilibidi nimsapoti kuwa Nguruwe hana utumbo!!!! Baada ya muda mfupi nikaondoka kabisa lile eneo!!!
Siwahi tena kwenda pale kilabuni!!!
Ogopa sana stori za walevi
 
Wakuu tupo katika club Cha pombe hapa tunapiga stori na wananchi wenzangu mdau mmoja kasema kwamba nyoka akifa ule uti wa mgongo ukibaki ardhini halafu ukachomwa Basi jua umepata majanga Kwani huo mfupa hauonekani kirahisi unaenda mbele haunaga reverse unaenda mpaka kwenye moyo ukikaa vibaya na pia Kuna uwezekano ukapata kansa kubwa..

Na mfupa wa samaki nako na wenyewe sio mzuri hasa ukikuchoma nafuu ukukabe katika shingo.mwiba mwingine hatari Ni wa katani.
Stori za kwenye pombe bhna!

Haya tumekuelewa
 
Waha,wamanyema,wasukuma,wazaramo, wapogoro wangekuwa wameisha kwa kufa na miiba ya samaki.
Tangu ni nizaliwe sihawahi sikia hadithi ya mtu kufa kwa kuchomwa na mwiba wa samaki. Nyoka huwa tunasikia ni hatari wanasbabisha kidonda ndugu.
 
Ubaya wa hizo pombe unakuta mmeanza pamoja lakini wewe umelewa kuliko wenzako. Kumbe walikuwa wanakutegea wakati wa kuvuta.
 
Kuna siku nulishuhudia mabishano kilabuni!!! Nusu ya wanywaji walidai Nguruwe hana utumbo nusu nyingine wakasema Nguruwe ana utumbo !!
Mimi ndiio nilionekana msomi kwenye lile kundi!! Nikaulizwa !! Aise eti!??/mtaalamu twambie Nguruwe anautumbo!??
Daah!!! Sasa aliyeniuliza ni mtu wa heshima sana na ndie aliyekuwa boss( yan mnunuaji mkuu) na alikua upande wa nguruwe hana utumbo!!!
Aisee ilibidi nimsapoti kuwa Nguruwe hana utumbo!!!! Baada ya muda mfupi nikaondoka kabisa lile eneo!!!
Siwahi tena kwenda pale kilabuni!!!
Ogopa sana stori za walevi
We jamaa acha hizo
 
Wakuu tupo katika club Cha pombe hapa tunapiga stori na wananchi wenzangu mdau mmoja kasema kwamba nyoka akifa ule uti wa mgongo ukibaki ardhini halafu ukachomwa Basi jua umepata majanga Kwani huo mfupa hauonekani kirahisi unaenda mbele haunaga reverse unaenda mpaka kwenye moyo ukikaa vibaya na pia Kuna uwezekano ukapata kansa kubwa..

Na mfupa wa samaki nako na wenyewe sio mzuri hasa ukikuchoma nafuu ukukabe katika shingo.mwiba mwingine hatari Ni wa katani.
Mambo ya bar mengi kamba
 
Mimi hakuna mwiba ninaouogopa kama wa katani. Ule mwiba nikiuangalia tu hua mwili unanisisimka hasa baada ya kuhadithiwa kwamba watu wengi waliofanya kazi kwenye mashamba ya mikonge walitoka wakiwa chongo!
Unaufahamu mwiba wa mtende? Usiombe ukutoboe mahali.
 
Back
Top Bottom