Cousin wangu ananipenda

Hakuna jamhuri yoyote itayomshitaki zipo ndoa nyingi za binamu,baba mmkubwa na mdogo,mama mkubwa na mdogo usiharamishe vitu ambavyo kwa wengine ni halali ukoo haundi mbali .aulize kwao inaruhusiwa au la.
that is incest crime! Mnaweza kushitakiwa na jamhuri! Lakini pia inatufanya tuingiwe shaka juu ya mwenendo na tabia zako kwa ujumla.au wewe ni penda penda? Acha tamaa dada
 
JAMANI MKIONA MANYOYA MJUE KASHALIWA, TENA SIO NYAMA TU, MPAKA MIFUPA! Hapa anataka tu kujihakikishia kama kumegwa na binamu ni sahihi au lah! STUPID!!!!
 
binamu nyama ya hamu mpe mwenzio ajivinjari ila anaonekana ni mshamba wa mapenzi yaani hataki kwenda kazini kwa ajili ya K? Nalog off
 
...too much childish stuff here man'........... It's like a forum for 6-12 yrs old damn...!!
wewe ulikuja jana ukasema una mpz wako wa miezi 9, hajawah kukwambia anakupenda. Huna kazi hataki kukuajiri kwenye Ngo yake, kakukataza kuvaa suruwali, anataka ubadili dini, hawez kukuoa, leo binamu anakutaka.

HUNA MSIMAMO WEWE WA MAISHA YA KIMAPENZI, MMEJUANA WIKI 1 TU NA BINAMU YAKO UMEJUAJE KAMA ANAKUPENDA KULIKO BOY WAKO?
 
anakudanganya huyo. mtu anayejifanya amekuzimikia ghafla ghafla nakushauri umuogope kama ukoma hasa ukizingatia ni ndugu yako.
 
Ha ha haaa...mapenzi bhana...tazama binti keishaporwa umakini na uwezo wake wa kufikiri!...Kuna baadhi ya maeneo namulika hapa...first ulikuja na malalamiko ya kutosemeshwa na whoever wako kwa miezi tisa,kwa sense ya kawaida nikasema si bure hapa kuna chungu kipya...na ndivyo unavyotaka tukubariki...Sikushauri chochote,nakaa kando till uje na post nyingine ya "nili what what na binamu yangu" ndipo nikupe ushauri...vigezo vyangu vimekuinamia mbona ni kauli ya ujima ambayo mashababi wametapeli nayo mapenzi sana? Kwanini hatusomi historia?
 
Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana, kumbe mwenzangu kanipenda tena mpaka analia yupo radhi asiende kazn ila aje 2pige storry nimemwambia ninampnz lakin hanielewi,pia nimemwambia sisi ni ndugu haelewi anadai ninasifa zote anazozitaka, na ananipenda kweli kuliko myboy, Sijui hata nifanyeje kunusuru undugu wetu.

Ukisoma vizuri humo nilimoweka red utagundua pengine nyote mna matatizo..
Haiwezekani interests ziendane halaf baadaye unakengeuka na kuja kuomba ushauri hapa??..kama interests zimeendana it means na wewe unapenda anachokuambia..
Na unachodai 'kupiga story'..sijui ndio mdudu gani???..
Ukiisoma hii habari yako 'ndani ya mistari' utaona kuwa unachotafuta hapa ni 'public sympathy' tu..lakin kama maamuzi umeshayafanya!
 
mi na BINAMU yangu tulikutana tukiwa 20 & 23 kwa mara ya kwanza na siku ya tatu nikala mzigo kwa miaka 10 tulliachana mwaka jana baada ya mimi kuoa.
 
Usituzuge ww ndio umempenda na unaendekeza.

Haya basi mpatie AKUTAFUNE upate raha
 
Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana, kumbe mwenzangu kanipenda tena mpaka analia yupo radhi asiende kazn ila aje 2pige storry nimemwambia ninampnz lakin hanielewi,pia nimemwambia sisi ni ndugu haelewi anadai ninasifa zote anazozitaka, na ananipenda kweli kuliko myboy, Sijui hata nifanyeje kunusuru undugu wetu.

kisicho haja kina dharula. Mpe mashine aichape.
 
Kama kawa, womens are funny animals kama alivyo sema james hadly chase. Hawajui walipo wala wanachotaka mda huo. Fikiria sana ewe dada
 
Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana, kumbe mwenzangu kanipenda tena mpaka analia yupo radhi asiende kazn ila aje 2pige storry nimemwambia ninampnz lakin hanielewi,pia nimemwambia sisi ni ndugu haelewi anadai ninasifa zote anazozitaka, na ananipenda kweli kuliko myboy, Sijui hata nifanyeje kunusuru undugu wetu.

Wewe ni kabila gani? wewe unampenda?
Ni cousin kwa upande wa mama au baba?
Kama ni mtanga basi kuna kuchinja mbuzi na KOMA NDUGU!!!

Pole sana kwa hicho kizungumkuti!
 
Hakuna jamhuri yoyote itayomshitaki zipo ndoa nyingi za binamu,baba mmkubwa na mdogo,mama mkubwa na mdogo usiharamishe vitu ambavyo kwa wengine ni halali ukoo haundi mbali .aulize kwao inaruhusiwa au la.
mapenzi hutokea ktk nyanja tete, pima moyo wako na utazame uzani wake. Lau kama ni mwana wa mjomba au shangazi, shika hatamu. Lau ni wa baba mdogo au mama mdogo, wacha ni haramu.
 
Hizi ni tamaa zake za wazi juu ya mwili wako, siyo mapenzi! Mapenzi gani ya mwezi mmoja?
 
Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana, kumbe mwenzangu kanipenda tena mpaka analia yupo radhi asiende kazn ila aje 2pige storry nimemwambia ninampnz lakin hanielewi,pia nimemwambia sisi ni ndugu haelewi anadai ninasifa zote anazozitaka, na ananipenda kweli kuliko myboy, Sijui hata nifanyeje kunusuru undugu wetu.

Hapo kwenye bluu hapo. Ili kunusuru undugu wenu, msikilize mwenzio kilio chake. Mpe tunda hilo atafune kwa raha zenu na undugu wenu utaimarika zaidi!
 
Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana, kumbe mwenzangu kanipenda tena mpaka analia yupo radhi asiende kazn ila aje 2pige storry nimemwambia ninampnz lakin hanielewi,pia nimemwambia sisi ni ndugu haelewi anadai ninasifa zote anazozitaka, na ananipenda kweli kuliko myboy, Sijui hata nifanyeje kunusuru undugu wetu.
Wewe utakua BITCH,jana nimesoma thread yako.Tafuta kazi wewe mtoto,umalaya hautakupa kazi wala kukufikisha popote.Halafu inaonyesha uko interested sana na mapenzi,kwasababu kwenye sehemu nyingine kama kwenye Siasa,Intellijensi haupo.
 
Back
Top Bottom