mimi yalinikuta kwa kweli niliagiza simu kupitia Alibaba feki, nilichoambulia cha matumaini ni Tracking number feki ya DHL ya kuulizia mzigo ambao hadi leo ni kitendawili. Nilipoteza 175 $.
Ingawa bado naendelea kuagizia bidhaa mara kwa mara lakini kwa sasa natumia mfumo wao wa ndani wa malipo...
FUSO CANTER LA KIBABE HILO
PRICE: TSHS. 21MILLION.
NIPIGIE TUYAJENGE CHAP CHAP
0715722673
0786722673
Karibu sana boss, nipe details zako nikutumie Invoice uniungishe
Kutoka Dodoma: Spika amewahoji Wabunge kuhusu pendekezo la kutoa posho ya siku moja ya kila Mbunge kama 'rambi-rambi' kwa familia zilizopoteza wao Arusha... wote wasema ndiyooooooooooo!! - TANZANIA MPYA MATUKIO
Breaking News: Benki ya FBME 'majanga'... yatangazwa muflisi, yafutiwa leseni zote: BOT yaiweka chini ya muflisi ya Bodi ya Bima ya Amana(DIB) !! - TANZANIA MPYA MATUKIO
Mwandishi wa makala hii alikuwa maeneo ya TAZARA kufanya Uchunguzi wa uhusiano wa ujenzi wa flyover na foleni amekuta havina uhusiano tuendelee kujadi sababu
Tuchangie hoja bila matusi wala jazba nimeitoa sehemu:
#Foleni kubwa ya magari TAZARA: Je ni askari wa barabarani kushindwa kuongoza magari ? Wananchi wahofia kupoteza 'vibarua'vyao.
=======
Ni takribani siku tatu sasa kumetokea foreni kubwaya magari kuliko wakati mwingine iliyowahi kutokea...
Nimeona tusome hii enyi 'makapuku' wenzangu: #Foleni kubwa ya magari TAZARA: Je ni askari wa barabarani kushindwa kuongoza magari ? Wananchi wahofia kupoteza 'vibarua'vyao... anaandika Amani Msyahilia wa Quality Opportunity Blog. - TANZANIA MPYA MATUKIO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.