Bunge latoa milioni 100 rambirambi kwa familia za wanafunzi Arusha

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Bunge limetoa posho yake yote leo kama rambrambi kwawafiwa wa wanafunzi huko Arusha, spika Ndugai pia ametoa salamu za rambirambi kwa niaba ya bunge kwa wafiwa.

 
baada ya kukusanywa utasikia imebadilishiwa matumizi kwa kukarabati daraja, hatujasau yale ya Bukoba
 
Tanzania is full of double standards!! Vp kuhusu meli zilizozama miaka michache iliyopita, au matukio machache yaliyopita..
 
Back
Top Bottom