Tatizo lako ndugu haujui kumtambua adui.Chanzo ni mheshimawa Pinda Mizengo ambaye alipata pesa ya chai ambapo Mansoor anasema siyo rushwa. Na mpaka akawa anafanyiwa mpango wa kuchukua uwanja wa nyamagana ajenge hotel na ndipo dili likagoma then akapewa soko la samaki so ramani za viwanja...
KWANI PESA ZA BENK YA DUNIA MMESHA ULIZIA ZIMEFANYA KAZI GANI?ok ofisi ya wenje ipo nendeni mfikishe malalamiko na siyo muongee kama watawaliwa bali zungumzeni kama watawala maana nyie ndio walipa kodi wa jiji na lazima zitumike kwanza kwenye vitu vya msingi.
Pole wewe mwenye wivu na maendeleo ya watanzania watu kama nyinyi mnastahili mtubu mpate busara.Hao PCCB/TISS wanakula kodi ya kikwete au ya watanzania?
jamani mwacheni bado anapractise colonialism politics..akifirisika ndiyo atajua au akajaribu kuishi maisha ya kimaskini jimboni kwa pinda for one week afu alete report hapa jamvini.
Wacha wafanye uchochezi kwa sababu Tanzania hakuna serikali.Utaniuliza kwanini? Kwa sababu hata mafisadi wanachukua chao mapema na kama kuna dola haya yangetokea?
Utashi wetu ndio unatufanya tuwekama tunaserikali kwa sababu tunaheshimiana na kuthaminiana lakini kuna wachache wenye mawazo ya...
jamani kaacheni kapumzike maana ni kazee sana ila kali badili miaka kipindi kana kwenda marekani kusudi kasikose scholarship cozo kamezaliwa 1936 na kanasema eti 1942.Maana mie babu yangu anamiaka 80..mawazo yake ni primitive afu siunakumbuka enzi hizo wazungu ndio walikuwa wanakata utepe sasa...
MADUDU ALIYOFANYA UN NA NDANI YA TZ MNATAKA AYAFANYE?kweli hamjipendi hata katika simply logic mbona hawajampa kuendelea na contract nyingine.Hata mwehu atajibu hili.
Kataka alama kuna good,better na best sasa yeye ni better.kama hamtaki subiri mpewe full kilaza kama bwana vasco da gama .sitta hafai ni zaidi ya mnafiki na anajitafutia umaarufu maana yeye ni bendera na mpayukaji na siyo mtendaji.ameshindwa kudhibiti ufujaji wa fedha jimboni kwake huku...
CHADEMA SIYO WABUNGE BALI NI NGUVU YA WANANCHI.waache ccm wapinge lakini Maandamano yetu yapo palepale.Hao mawaziri kumi na tisa hatuwataki.kazi kwa J.k.Hata libya yalianza hivi hivi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.