Zitto alipuka tena bungeni

Zitto alipuka tena bungeni

Spika wa bunge ni msiba kwa taifa, afadhali mafisadi kumi kuliko kuendelea kumnyamazia mama huyu, hatua lazima zianzishwe mara moja kumshughulikia!
 
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.

Amelewa sifa!! Mbio za uraisi hizi.. Tanzanians are too blind to see.. Tuone mwisho wake. Nafurahi na wewe mdau una mawazo kama yangu
 
Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema

"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"

Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika

mambo ya biblia yaache kwenye biblia na mambo ya JF yaache kwenye JF
 
Mwaga hizo data za Zitto hapa! Vinginevyo, wivu unakukereketa!

Hakuna mwenye wivu hapa.... Nani apate wivu na ulevi wa masifa.. Habari za Barrick zipo.. Kama ana uchungu aziongelee na zenyewe kwa sifa tusikie... Mxxiixixixiuuu
 
Judy wa Kishua kumbe kupigania maslahi ya Taifa ni kupenda sifa, haikosi waweza kuwa kiongozi au mtoto wa kiongozi au kimada wa kiongozi au kwa namna moja ama nyingine una faidi matunda ya uozo. Hovyo sana, wote wenye mtazamo kama wewe wanastahili kufungwa jiwe la kusagia na kutupwa baharini.
 
Back
Top Bottom